Ndiyo tumejipanga kuchukua ndoo mapema mnoMmejipanga?
Always mjerumani huwa anakuwa mpole mnonawe pia bro ila tukikutana km kawa nadhan unaifahamu vzuri historia yetu mi nawe
Na wakivuka ?Hawavuki hata hatua ya makundi hawa.!!!
Watamfunga Juventus na bayern munichHamna timu hapo kina vazquez watamfunga nani
Hata akiitwa atakuwa useless au huwa anakuvutia sana ukimuona amekalia benchi?Kwani hao makipa watacheza lini kwa De gea.?.. Au umepitiwa kidogo.
Ngoja tuoneNdiyo tumejipanga kuchukua ndoo mapema mno
Sawa mjukuu wa AldolfNgoja tuone
Hahah!! Mwenyewe unajua vile sinaga mbwe mbwe mingi show zangu za kibabe sanaSawa mjukuu wa Aldolf
EwaaaChama hilo hapoView attachment 783196
Lazima tunyanyue kwapaTUPO PAMOJA MKUU
Wew wasemaHakuna timu humo....Hiko kikosi ni kama kile cha Brazil kilichopigwa 7.
Sanaa,,vijana wadogo wamepewa nafasiMmejipanga?
Hata mm mkuu..hao watu ni hatarnmefurahi sana kuwaona aspas na rodrigo........ureno wataipata
Yoyote atakae jitokezaHamna timu hapo kina vazquez watamfunga nani
Aisee ngoja tusubiri tu kuonaSanaa,,vijana wadogo wamepewa nafasi
Hawavuki,Na wakivuka ?
Acha utani.. unaposema useless unamaanisha wote walioitwa watacheza?..Hata akiitwa atakuwa useless au huwa anakuvutia sana ukimuona amekalia benchi?
mPanama nipo hapa mkuuPoa ndugu mimi Mgermany nakutakia kila laheri
Panama tunaenda kuweka historia mkuuNdiyo tumejipanga kuchukua ndoo mapema mno