Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Argentina ndio mahala pako chiefmPanama nipo hapa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina ndio mahala pako chiefmPanama nipo hapa mkuu
WaliufutaHuu uzi umeanza upya tena?! Si ulikuwemo humu?
Sampaoli kanivuruga kumwacha IcardiArgentina ndio mahala pako chief
Uzi wako haukufutwa mkuu bali umeunganishwa na uzi mwingine unaohusu pia wc Russia 2018.Waliufuta
Jamaa kastaafu kabsayani ubelgiji wamepotea sana kumwacha kiungo wa dunia radja naingolan na kuwachukua magarsa kama witsel na mwenzie fellaini na itagharim sana tim hiii subir wapate cha moto
Ile timu ina mambo ya ajabu sana katika swala la uitaji wachezaji sijui hua wanazingatia niniSampaoli kanivuruga kumwacha Icardi
Alba lazima achezeAcha utani.. unaposema useless unamaanisha wote walioitwa watacheza?..
thubutuuuu...kwa timu zipi??Kombe linakuja Africa kwa Mara ya kwanza
duh! kama nchi ya Argentina wamechoka kuzalisha wachezaji wapya na wenye viwango ambao watalisaidia taifa lao kwenye sekta ya michezo hususan mpira wa miguu basi waige mfumo wa Ufaransa na ujerumani kwa kuwapa uraia wageni, naamini hili tatizo la uhaba wa viungo kwenye timu yao ya taifa litakwisha kwa sababu bara la afrika linaongoza kuzalisha viungo na mabeki na ndio maana ufaransa hawajawahi kuwa na uhaba wa mabeki na viungo kwenye timu yao ya taifa.Kikosi kamili cha Argentina
Walinda lango : Sergio Romero (Manchester United), Willy Caballero (Chelsea), Franco Armani (River Plate).
Walinzi : Gabriel Mercado (Sevilla), Federico Fazio (Roma), Nicolas Otamendi (Manchester City), Marcos Rojo (Manchester United), Nicolas Taglafico (Ajax), Javier Mascherano (Hebei Fortune), Marcos Acuna (Sporting Lisbon), Cristian Ansaldi (Torino).
Vingo wa kati : Ever Banega (Sevilla), Lucas Biglia (AC Milan), Angel Di Maria, Giovani Lo Celso (wote wa Paris St-Germain), Manuel Lanzini (West Ham), Cristian Pavon (Boca Juniors), Maximiliano Meza (Independiente), Eduardo Salvio (Benfica).
Washambuliaji : Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain, Paulo Dybala (both Juventus), Sergio Aguero (Manchester City).
Huyu hana nidhamuyani ubelgiji wamepotea sana kumwacha kiungo wa dunia radja naingolan na kuwachukua magarsa kama witsel na mwenzie fellaini na itagharim sana tim hiii subir wapate cha moto
Huyu hana nidhamu
nidhamu kivipi huku tunamwona anaupiga mwingi sana as roma pale pia anglia records zake uwanjan uone amepat red cards ngapi af pia kuna baadhi ya mambo ni ya kuvumilika tu radja kawabeba sana wabelgij euro na subiri uone ubelgiji akitolewa lawama ztaanzia wap km sio kumuacha radjaHuyu hana nidhamu