Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agreed!Niko Ujerumani and i think this time watarudia yale ya 2014.
Kila la kheri kwao.
nmejichanganya Mkuu ni PortugalChile labda ya inayoshiriki ndondo cup
nsamehe mkuu...nmejichanganya nlitaka kuweka PortugalChile imefuzu?
Ya MtonganiChile ipi????
mkuu labda utokee muujiza kama unavyosema...but England will do nothing in Russiawatu wana idharau uingereza itakuja kufanya maajabu mpaka watu washangae
Kichwa cha mwenda wazimu ichowatu wana idharau uingereza itakuja kufanya maajabu mpaka watu washangae
kwa aziz au kwa kindandeYa Mtongani
Mashindano ya Kung Fu au.....hapana mkuu China hawezi haya mambohivi china hawakufuzu?
bora utusaidie mkuu.. Watu wanawapa credit hao Vilaza kisa KaneKichwa cha mwenda wazimu icho