kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Hapo hamna team ni kama Zanzibar heros tubora utusaidie mkuu.. Watu wanawapa credit hao Vilaza kisa Kane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hamna team ni kama Zanzibar heros tubora utusaidie mkuu.. Watu wanawapa credit hao Vilaza kisa Kane
karibu na Uhasibukwa aziz au kwa kindande
hahahahaha kwa level za ulaya England inaonekana Kama Gabon tu...sifa kibao vitendo zeroHapo hamna team ni kama Zanzibar heros tu
Kagame cup auNasikia Tanzania ilifuzu nayenyewe
Sawa mpanga matokeoArgentina haibebi kabsaa
Asipobeba atabeba mwingine kundi AArgentina haibebi kabsaa
mkuu alisha wahi kushudia match kati ya china na korea-huwa ni vurugu matchMashindano ya Kung Fu au.....hapana mkuu China hawezi haya mambo
Wasindikizaji katika ubora wao....kwenye mpira ndumba haina nafasimwaka huu kombe la dunia linakuja Afrika! kama siyo nigeria basi ni senegal
Au tuwaweke pamoja mkuutoa Portugal kwenye strong compititor weka Croatia
Gesi ya Fanta
Median tu zinawapa promotehahahahaha kwa level za ulaya England inaonekana Kama Gabon tu...sifa kibao vitendo zero
utajishangaa mwenyewe Siku si nyingi..... Seleçao watapambana ila hawatafanya maajabuBrazil ya sasa iko vizuri na hao kina Argentina hawawez mfunga
ingekuwa Media zina effect uwanjani,England Wangekuw mabingwa Kila kukicha maana wanajitahid kwa kikiMedian tu zinawapa promote