Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kama vitu vingine vinavyobadilika na mpira nao unabadilika kwa kasi,kombe la dunia mwaka huu tofauti na matarajio ya wengi kabisa linaenda kushuhudia mabingwa wapya kabisa timu ya Ubelgiji ikitwaa ubingwa huku vinara kadhaa kama Brazil, Ujerumani,Uingereza nk wakibaki midomo wazi.
Timu moja kutoka Afrika itavunja rekodi kwa kuingia nusu fainali na hivyo kuwa timu ya kwanza kufanya hivyo kwenye michuano hiyo.
Ebu pitia hapa kuona kikosi cha dunia kutoka Ubelgiji.
Magoalkeeper
Koen Casteels (Wolfsburg), Thibaut Courtois (Chelsea), Simon Mignolet (Liverpool),
Mabeki
Toby Alderweireld (Tottenham Hotspur), Dedryck Boyata (Celtic), Laurent Ciman (Los Angeles FC), Christian Kabasele (Watford), Vincent Kompnay (Manchester City), Jordan Lukaku (Lazio), Thomas Meunier (Paris St-Germain), Thomas Vermaelen (Barcelona), Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur)

Viungo
Yannick Carrasco (Dalian Yifang), Kevin de Bruyne (Manchester City), Mousa Dembele (Tottenham Hotspur), Leander Dendoncker (Anderlecht), Marouane Fellaini (Manchester United), Eden Hazard (Chelsea), Thorgan Hazard (Borussia Monchengladbach), Adnan Januzaj (Real Sociedad), Dries Mertens (Napoli), Youri Tielemans (Monaco), Axel Witsel (Tianjin Quanjian)

Maforward
Michy Batshuayi (Chelsea), Christian Benteke (Crystal Palace), Nacer Chadli (West Brom), Romelu Lukaku (Manchester United)
 
Aisee!
Umebet kupitia app gani? maana hii ni bettng kbsa
 
Dries Mertens ni mtu hatari sanaa, KDB ndio usiseme. Ila kuchukua kombe la dunia? Hapana bado
 
Ushabiki mbele, lakini hayo ni mawazo yako, timu nzuri si kuwa na wachezaji wazuri pekee.
 
Tofautisha vipaji (squad) na experience..... Belgium ni most talented squad but they wont be able to overtake Giants Like Germany,France,Argentina,Spain and Brazil...
Although they will do better but not in such stage of winning the trophy...Never!!!!!
 
Wana wachezaji wazuri lakini sio sababu ya kubeba ndoo(KOMBE) mkuu.
 
Back
Top Bottom