Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mleta uzi unaakili sana kama za MESSI.

Nikweli kabisa katika hilo kundi A mmoja wao anaondoka na ndoo. Kama sio ARGENTINA wanaofuatia. Kuna watu humu watajing'ata kuona hii comment. Hawanipunguzii kitu.

Vivaa ARG
 
hao wazee wa robo wakijitahidi sana nusu! Germany to retain the title! WC cup si majina, world cup ni quality ya squard depth na consistency
 
Kwa mpira ule wa Jana hata makundi hawavuki
 
france na argentina nawapa nafasi kubwa sana
fundi wangu pogba ataupiga mwingi sana
 
Mleta uzi unaakili sana kama za MESSI.

Nikweli kabisa katika hilo kundi A mmoja wao anaondoka na ndoo. Kama sio ARGENTINA wanaofuatia. Kuna watu humu watajing'ata kuona hii comment. Hawanipunguzii kitu.

Vivaa ARG
tusubiri hicho kipute cha wanaume uwanjani
 
Back
Top Bottom