PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,867
- 23,482
Brazil akitoka
Portugal akitoka
Spain
Afrika nitashabikia timu itakayovuka makundi
We unashabikia timu yotote inayoshinda, duh yaani sherehe tu.
Brazil akitoka
Portugal akitoka
Spain
Afrika nitashabikia timu itakayovuka makundi
Naomba saudia achezee 8 tena
Mama mkwe mbona nyingi ivyo mimi nipo Spain tuBrazil
England
Portugal
Team za Africa zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba mkwe hizo ndio team zanguMama mkwe mbona nyingi ivyo mimi nipo Spain tu
Team Ureno tujuane mapema hapa.
Njoo Spain kwa captain ramosNipo mkuu
Njoo Spain kwa captain ramos
Utaumia roho bure mama mkwe njoo kwetu Mpira kwanza hamna kugusana ni mpira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we baki uko mm nipo kwa ronaldo ba mkwe
Utaumia roho bure mama mkwe njoo kwetu Mpira kwanza hamna kugusana ni mpira tu
We kama Brazil vile maana wadada wanampenda Neymar. Ureno huwa ni chaguo langu la pili. Chaguo la kwanza ni Uholanzi hatukufuzu mwaka huu.Nipo mkuu
We kama Brazil vile maana wadada wanampenda Neymar. Ureno huwa ni chaguo langu la pili. Chaguo la kwanza ni Uholanzi hatukufuzu mwaka huu.
Una akili mingi sana weweNiko Ujerumani and i think this time watarudia yale ya 2014.
Kila la kheri kwao.
Hahaaa. Lol.Una akili mingi sana wewe