KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Unaturusha roho tulio bet!!Russia nipigie hao spain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaturusha roho tulio bet!!Russia nipigie hao spain
Sasa mkuu kama mimi nimempa russia,siruhusiwi kuomba,mkeka wangu utiki??Unaturusha roho tulio bet!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Russia nipigie hao spain
Ahsante mkuu, nitaanza kurejea taratibu maana kambi nilihamishia ukimbiziniKaribuni tena wakuu. Nilimis sana mada hii.
Mkuu mimi nashabikia underdogs wote kwenye hii michuano..jana cavanni alifanya kweli,akanitolea ronaldo..ngoja na leo tuone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko Spain japo lolote laweza kutokea
Jana japo nilikuwa Portugal ila alipofungwa nilifurahi sana.Mkuu mimi nashabikia underdogs wote kwenye hii michuano..jana cavanni alifanya kweli,akanitolea ronaldo..ngoja na leo tuone
Aisee.kylian mbappe
miaka 6 iliopita
binadamu mwenyewe ndiye anayejipangia ratiba yake ya maisha
![]()
licha ya umri wake kuwa ni mdogo uongozi wa monaco walimuamini na kumpa nafasi leo hii anazungumzwa zaidi yeye kuliko shujaa wake wa kila siku ambaye jana mpaka dakika 90 zinamaliza amepiga shoot target mbili.Aisee.
Sina la kusema
Ni mzaliwa wa wapi?licha ya umri wake kuwa ni mdogo uongozi wa monaco walimuamini na kumpa nafasi leo hii anazungumzwa zaidi yeye kuliko shujaa wake wa kila siku ambaye jana mpaka dakika 90 zinamaliza amepiga shoot target mbili.
ukiangalia hiki chumba chake kinaonyesha dhahiri uhalisia wa maisha aliyopitia, huku kwetu kuna watu walikutana na hali ngumu na baadae wakapata nafasi ya kutengeneza maisha yao ila mwisho wa siku waliamua kurudi nyumbani eti kwa sababu atakosa kupiga stori na rafiki yake kipenzi athuman iddi chuji.
![]()
![]()
Russia anakula 4 bila