Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

FB_IMG_1528629419124.jpg

Team Brasil
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba mkwe si unajua sina team moja list yangu umeiona sidhani kama team zote hizo zitaniumiza

Welcome to Argentain hautojutia, kuna nyota wengi wanaocheza nje tofauti na tim zingine,, wana jezi nzuri kuliko jezi yoyote ile, wana jina zuri la tim kuliko tim yeyote ile,, wana mfalme wa soccer kuwahi kutokea and a little magician Paulo Dyabala...karibu huku my ukhti!
 
Mkuu hapana

Kweli mpira hauchezwi mdomoni mpaka wakati huu argentina, portugal na ujerumani wanaangalia mpira nyumbani. Kombe halitabiliki hili.
 
Back
Top Bottom