Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Goooool spain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe nimeshangaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepigwa na butwaa kuwa jf imerejea kimya kimya
[emoji23] [emoji23]Huyu Diego Costa akili ndogo kama Lukaku tu
YaanMwenyewe nimeshangaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
@nifah yuleyule na lipstick yake. Karibu mama. [HASHTAG]#TeamCroatia[/HASHTAG]. Baada ya kipenzi cha watu Messi kuondoka.Post yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.
Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF [emoji1423]
bingoAigoooooo,hello hyungnyim
Huyu dogo jana kanikosha sana,naona anafuata nyendo za shujaa wake sio kwa mbio zile za jana.
Ila jamani jana Cr7 angefanya nini? Bernado jana kaniudhi kidogo nivunje TV! Yeye ndiye aliyetunyima ushindi jana.
HongereniMo Salah jana nilikuwa nae Misri tulikula sana mvinyo
Esp 1-0 rusMlio karibu na TV ubao unasomekaje nasikia mtu kajifunga.
Mimi ndio naelekea bandani sasa hivi
1-0 (OG) Spain anaongoza.Mlio karibu na TV ubao unasomekaje nasikia mtu kajifunga.
Mimi ndio naelekea bandani sasa hivi
Mlio karibu na TV ubao unasomekaje nasikia mtu kajifunga.
Mimi ndio naelekea bandani sasa hivi
nilicho kuja kukigundua maishani ni ile kauli inayosema aliwaolo mjinga ndio linalomtokeakylian mbappe
miaka 6 iliopita
binadamu mwenyewe ndiye anayejipangia ratiba yake ya maisha
![]()
Esp 1-0 rus
1-0 (OG) Spain anaongoza.
Aisee.Lazima ajifunge, alikuwa anamkaba Ramos kwenye box, matokeo wote wakaenda chini akaweka mpira nyavuni kwake. Genius Ramos
Mwanajangwani tumekumis
Huyu Diego Costa akili ndogo kama Lukaku tu
Mzee wa dirty game Ramos alikuwepo pale kwenye box
Aisee.
Huyu Ramos anasifika kwa mpira wa ovyo sana.
@nifah yuleyule na lipstick yake. Karibu mama. [HASHTAG]#TeamCroatia[/HASHTAG]. Baada ya kipenzi cha watu Messi kuondoka.