Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bujibuji umeanza kutumia cha Arusha nini?Kwa jinsi jezi ya Nigeria inavyozidi kung'aa ndio mabingwa wapya WC
ahahahah sawasawa mkuu. atakapo kipiga na England nitakuwa pamoja naweSitaki pressure, Chama langu Panama
Kwa jinsi jezi ya Nigeria inavyozidi kung'aa ndio mabingwa wapya WC
Kwa jinsi jezi ya Nigeria inavyozidi kung'aa ndio mabingwa wapya WC
Kwa mpira ule wa Jana hata makundi hawavukihao wazee wa robo wakijitahidi sana nusu! Germany to retain the title! WC cup si majina, world cup ni quality ya squard depth na consistency
Basi kheir ila hili la Belgium kunyanyua kwapa nitajie unakituma kwenda namba ngapi!Kwema Ndg yangu Guasa,hatuonani siku hizi humu ndani
Kichwa cha mwendawazimu pamoja na nchi zote alizowahi zitawalawatu wana idharau uingereza itakuja kufanya maajabu mpaka watu washangae
tusubiri hicho kipute cha wanaume uwanjaniMleta uzi unaakili sana kama za MESSI.
Nikweli kabisa katika hilo kundi A mmoja wao anaondoka na ndoo. Kama sio ARGENTINA wanaofuatia. Kuna watu humu watajing'ata kuona hii comment. Hawanipunguzii kitu.
Vivaa ARG
siku si nyingi mawazo yako yatapata ufumbuzifrance na argentina nawapa nafasi kubwa sana
fundi wangu pogba ataupiga mwingi sana
kuna ukweli Fulani hivi...makoloni yote ya Uingereza ni vilaza kwenye kila nyanja has a hili LA mpira. Nadhani tumerithi mifumo yao mibovuKichwa cha mwendawazimu pamoja na nchi zote alizowahi zitawala
China wamezuiwa kushiriki kombe la dunia ni watu wasiojulikana. Nasikia wanaweza kubadilisha hata timu tatu katika dakika 90.hivi china hawakufuzu?