Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

yani ubelgiji wamepotea sana kumwacha kiungo wa dunia radja naingolan na kuwachukua magarsa kama witsel na mwenzie fellaini na itagharim sana tim hiii subir wapate cha moto
Jamaa kastaafu kabsa

Naona kila kocha anataka amfunike mwenzie kwa kuacha wachezaji
 
Kikosi kamili cha Argentina

Walinda lango : Sergio Romero (Manchester United), Willy Caballero (Chelsea), Franco Armani (River Plate).

Walinzi : Gabriel Mercado (Sevilla), Federico Fazio (Roma), Nicolas Otamendi (Manchester City), Marcos Rojo (Manchester United), Nicolas Taglafico (Ajax), Javier Mascherano (Hebei Fortune), Marcos Acuna (Sporting Lisbon), Cristian Ansaldi (Torino).

Vingo wa kati : Ever Banega (Sevilla), Lucas Biglia (AC Milan), Angel Di Maria, Giovani Lo Celso (wote wa Paris St-Germain), Manuel Lanzini (West Ham), Cristian Pavon (Boca Juniors), Maximiliano Meza (Independiente), Eduardo Salvio (Benfica).

Washambuliaji : Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain, Paulo Dybala (both Juventus), Sergio Aguero (Manchester City).
duh! kama nchi ya Argentina wamechoka kuzalisha wachezaji wapya na wenye viwango ambao watalisaidia taifa lao kwenye sekta ya michezo hususan mpira wa miguu basi waige mfumo wa Ufaransa na ujerumani kwa kuwapa uraia wageni, naamini hili tatizo la uhaba wa viungo kwenye timu yao ya taifa litakwisha kwa sababu bara la afrika linaongoza kuzalisha viungo na mabeki na ndio maana ufaransa hawajawahi kuwa na uhaba wa mabeki na viungo kwenye timu yao ya taifa.
sote tunafahamu ya kwamba Argentina alifuzu kombe la dunia kimaajabu lakini cha kushangaza mpaka leo wanakwenda kwenye world cup na aina ya wachezaji kama mascherano ambaye anacheza nchini china,
lucas biglia kutoka AC Milan,
marcos rojo ambaye msimu mzima amecheza mechi saba,
giovani lo celso ambaye PSG hana namba kwenye kikosi cha kwanza na wakati huo huo rabiot ambaye anacheza kikosi cha kwanza kwenye timu ya PSG ameachwa timu ya taifa ya ufaransa.
namuonea huruma sana ever banega
e341dd8aa2c54362bb2acc03a101923a.jpg
 
Robin-van-Persie.jpg

mashabiki wa hispania musijifanye ya kwamba mumelisahau tukio hili lililotokezea 13/06/2014 kwenye nchi ya brazil na bahati mbaya baada ya kushitakiwa kwa kosa la shambulio la aibu matokeo ya mechi hii nimeshayasahau ila nakumbuka spain alishinda magoli matano (natania)
  • nawakumbusha ya kwamba kabla kombe la dunia halijaanza benchi la ufundi la hispania linapaswa liwe limeshaandaa plan B ya kupambana na timu ambazo zimeshafahamu mfumo wao la si hivyo wajiandae kukutana na dhoruba kama ya mwaka 2014 nchini brazil
  • wakati spain inakwenda kombe la dunia mwaka 2010 david villa na pedro rodriguez kwa pamoja walifunga wastani wa magoli 45 kwenye timu zao kama sijakosea, wakati huo david villa anachezea valencia na pedro rodriguez ilikuwa ni msimu wake wa pili tokea apandishwe kutoka la masia na josep guardiola. Iago Aspas na rodrigo moreno kwa pamoja msimu huu wamefunga magoli 41 ila bado siamini kama wanaweza kuvaa viatu vya fundi david villa.
  • kwenye kombe la euro 2008 nakumbuka mzee luis aragones suarez alitengeneza utatu mtakatifu kwenye eneo la kiungo ambapo alikuwa anawatumia viungo marco senna ambaye alikuwa on fire licha ya majeruhi ya mara kwa mara, xavi hernandez akiwa kwenye ubora wake baada ya kufichwa kwa muda mrefu na deco souza pamoja na kiungo andres iniesta ambaye naye alianza kuuonyesha ulimwengu uwezo wake halisi wa mpira, kilichotokezea kimebaki kuwa ni historia yenye kuvutia.
  • baadae (2010 na 2012) chini ya vicente del bosque anaamua kuwapa majukumu ya ulinzi viungo wawili ambao ni segio bosquet na xabi alonso ili kuifanya timu iwe na muunganiko kwenye eneo la ulinzi na ushambuliaji, baadae pia aliamua kuwapa uhuru mtu na ndugu yake (xavi na iniesta) ambao waliufanya mpira uonekano mchezo rahisi kwa watazamaji wanaoshabikia spain na pia waliufanya mpira uwe mgumu kwa timu pinzani.
  • na kwenye eneo la ushambuliaji spain walikuwa wanacheza bila ya mshambuliaji anayesimama kwa adui ambapo alikuwa akimtumia david villa kama kiungo wa pembeni pamoja na david silva, kwa ufupi alichokifanya del bosque ni kucopy nusu ya mfumo wa guardiola akiwa barcelona na robo ya mfumo wa mourinho akiwa inter milan na kilichotokezea kwa wapinzani aulizwe buffon na italy yake kwenye fainali ya euro 2012.
  • leo hii Spain wanakwenda kwenye kombe la dunia wakiwa na kiungo wa asili kwenye eneo la ulinzi mmoja tu ambaye ni sergio bosquets na hawana mchezaji mwenye sifa ya xabi alonso na pia hawana mchezaji mwenye sifa ya marco senna ambaye ataifanya timu iwe na usawa kwenye eneo la ulinzi na ushambuliaji. Tafsiri yake ni kwamba kocha wa spain amefanya kitendo kama alichokifanya del bosque cha kuachana na falsafa ya luis aragonez.ila kocha huyu anachofanana na aragonez ni kwamba yeye pia anaamini mfumo wa kusimamisha strike wa uhakika kwenye eneo la adui na bila shaka atamtumia diego costa.
  • mfumo huu ni mzuri sana unapocheza na timu yenye viungo wabovu kama Argentina lakini ni mfumo hatari sana unapocheza na timu yenye viungo wenye uwezo wa kulinda na kushambulia kama Ufaransa na Ujerumani.
  • Thiago Alcantara, koke, david silva,isco,iniesta na saul wote hawa ni viungo wanaopaswa kulindwa na mwanadamu mwenye nidhamu ya hali ya juu ndipo watakapoweza kuufaidi mpira wao lakini bahati mbaya Spain amebaki mwanadamu mmoja tu mwenye nidhamu kubwa kwenye kulinda ila bahati mbaya sana hajawahi kuonekana ni mchezaji muhimu kwa taifa lake, namkusudia JAVI MARTINEZ. wasipokuwa makini watamaliza kombe la dunia wakiwa wameruhusu magoli mengi kutokana na timu yao kukosa balance kwenye ulinzi.
Spain+v+Armenia+FIFA+2010+World+Cup+Qualifier+TksoTvF8dHjl.jpg
 
Huyu hana nidhamu
nidhamu kivipi huku tunamwona anaupiga mwingi sana as roma pale pia anglia records zake uwanjan uone amepat red cards ngapi af pia kuna baadhi ya mambo ni ya kuvumilika tu radja kawabeba sana wabelgij euro na subiri uone ubelgiji akitolewa lawama ztaanzia wap km sio kumuacha radja
 
Players in [HASHTAG]#WorldCup[/HASHTAG] squads:

Manchester City: 17
Real Madrid: 16
FC Barcelona: 14
Chelsea: 13
PSG: 12
Tottenham: 12
Manchester Utd: 11
Bayern Munich: 11
Juventus: 10
Atletico Madrid: 9
Al Ahly (Egypt): 8
Al Ahli (Saudi): 8
Monaco: 8
Sevilla: 8
Arsenal: 7
Liverpool: 7
Napoli: 7
 
Back
Top Bottom