Nilisema na imetimia, haya Russia kwakheri mbaki kuwa mashabiki sasa.Anaye anza kupiga penati ndio atatoka
Ilikua lazima watokeTumemaliza kazi!
Pumbavu sana huyu Harnandez, wanaenda kufa kwa EnglandSafi sana Croatia
I like the spirit! Big up!!Ilikua lazima watoke
Ha hah .. nakuona kaka mkubwa!!View attachment 804711
Tukutane nusu fainali wakuu
England wajipange, Croatia ni timu ya wabishi.Pumbavu sana huyu Harnandez, wanaenda kufa kwa England
England hachomoki!Shunie Croatia ndio muarubain wa England
Na VAR zimekuja hawataweza tena kulipizaMashine hiyo mpaka now UK hawana hamu naye ππππ