Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,257
England atagotea kwa Croatia mkuu.Pumbavu sana huyu Harnandez, wanaenda kufa kwa England
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
England atagotea kwa Croatia mkuu.Pumbavu sana huyu Harnandez, wanaenda kufa kwa England
Sure!!England hachomoki!
Hadi sasa bet yangu iko.Ha hah .. nakuona kaka mkubwa!!
England Hanna kitu pale, mashabiki wa humu ni wafuata jina tu. Huko walipo England tayari wanajichongea majeneza wenyewe, kilichobaki wanamtafuta askofu wa kuendesha ibada ya mazishi.Sure!!
Nani kakuambia England anatoka!!. Vijana wako moto sana safari hii. Usichezee timu ya taifa wachezaji wote wanatoka ligi moja (premier league)Mshindi wa tatu atacheza France na England.
Jamaa anaonekana sio mzuri ktk matuta. Na denmark ile ya muda wa kawaida alikosa. Na ile ya ktk penati kick kipa wa denmark aliiona na aliigusa ila ikaingia. Leo nayo kidogo akose. Penati ni kama ya Vida. Mua futi tano, hadaki mtu.Duh! Modric kidogo akose
England atapigwa mapema sana, wala hatafika 120', anaebisha hicho ni kipaji chake tu.England Hanna kitu pale, mashabiki wa humu ni wafuata jina tu. Huko walipo England tayari wanajichongea majeneza wenyewe, kilichobaki wanamtafuta askofu wa kuendesha ibada ya mazishi.
hachomoki!?,kwani amejichomeka wapi hahaaEngland hachomoki!
Aisee! Warusi magoli yao ya extra time na first half ni mazuri sana. Kama la offside trap la pili lile...hahahahah. Wametoka kiume, game safi kabisa.Jamaa anaonekana sio mzuri ktk matuta. Na denmark ile ya muda wa kawaida alikosa. Na ile ya ktk penati kick kipa wa denmark aliiona na aliigusa ila ikaingia. Leo nayo kidogo akose. Penati ni kama ya Vida. Mua futi tano, hadaki mtu.
Mkuu usihangaike anglia tu kwenye simu ikiwa netwak haisumbui maeneo ulipo.Ahsanteni wakuu Dstv roho inaumaa bei kali for the stations i like af hashindi mtu hom naona napoteza pesa tu
Umeangalia game zao mkuu?Timu ina jina ila team as a team perfomance ipo chini.Nani kakuambia England anatoka!!. Vijana wako moto sana safari hii. Usichezee timu ya taifa wachezaji wote wanatoka ligi moja (premier league)
Upo sahihi kabisa. Hawa majamaa majina yao yanayoishia na chi..chi..chi watawazika England bila sanda wala suti.England atapigwa mapema sana, wala hatafika 120', anaebisha hicho ni kipaji chake tu.
Timu nzuri iliyocheza na uingereza ni Ubelgiji na uingereza alipigwa.Nani kakuambia England anatoka!!. Vijana wako moto sana safari hii. Usichezee timu ya taifa wachezaji wote wanatoka ligi moja (premier league)
we jamaa bhana, ok me nnachojua kila mechi ina mipango yake kazi kubwa ya kocha kuangalia nguvu na udhaifu wa mpinzani wake kwahiyo kila mechi inakuwa na approach yake, mfano mzuri game ya Brazil Na Belgium, Wabelgiji Jana walienda kuzuia na kufanya mashambuliz ya kushtukiza yan counter attacks na kweli ikawalipaWako wapi mashabiki wa England, pimeni mechi alizocheza huyu England wenu na mechi iliyomalizika sasa hivi. Na kazi anayo kwa Croatia.