Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Jamaa anaonekana sio mzuri ktk matuta. Na denmark ile ya muda wa kawaida alikosa. Na ile ya ktk penati kick kipa wa denmark aliiona na aliigusa ila ikaingia. Leo nayo kidogo akose. Penati ni kama ya Vida. Mua futi tano, hadaki mtu.
Aisee! Warusi magoli yao ya extra time na first half ni mazuri sana. Kama la offside trap la pili lile...hahahahah. Wametoka kiume, game safi kabisa.
 
Ahsanteni wakuu Dstv roho inaumaa bei kali for the stations i like af hashindi mtu hom naona napoteza pesa tu
Mkuu usihangaike anglia tu kwenye simu ikiwa netwak haisumbui maeneo ulipo.
 
Uingereza kati wabovu, sasa combination ya raktic na modric mixer kovacic, watapoteana wao silaha yao kubwa ni Trippier na Ashley young wapige cross.
 
Nani kakuambia England anatoka!!. Vijana wako moto sana safari hii. Usichezee timu ya taifa wachezaji wote wanatoka ligi moja (premier league)
Timu nzuri iliyocheza na uingereza ni Ubelgiji na uingereza alipigwa.
 
Wako wapi mashabiki wa England, pimeni mechi alizocheza huyu England wenu na mechi iliyomalizika sasa hivi. Na kazi anayo kwa Croatia.
we jamaa bhana, ok me nnachojua kila mechi ina mipango yake kazi kubwa ya kocha kuangalia nguvu na udhaifu wa mpinzani wake kwahiyo kila mechi inakuwa na approach yake, mfano mzuri game ya Brazil Na Belgium, Wabelgiji Jana walienda kuzuia na kufanya mashambuliz ya kushtukiza yan counter attacks na kweli ikawalipa

let's wait and see
 
Back
Top Bottom