Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kaka achana na hawa mashabiki maandazi.
Mwenye mpira wake kaamua, sasa naona wanapata tabu sana.
 
France Bingwa KOMBE la dunia kwa Mara ya pili 1998 na mwaka huu 2018
 
Fainali ni Ufaransa Vs Croatia, and Croatia wins the WC
 
Mwenzenu hiki ndicho kimemtokea, ubishi ubishi kama wenu kuwa England hafiki kokote matokea yake DAvid Beckham "Becks" atanlisha chips huku akiwa katinga uzi wa England ndani ya uwanja wa taifa wa Wembley uliopo pale london HA9 0WS, UK.


 
Hiyo ndiyo tafsiri ya mpira na ndiyo dhana nzima kuhusu upinzani na ndicho kitu kinacholeta ladha.

Mheshimiwa huu upangaji wa timu kwa viwango vya FIFA world ranking procedure nani aliyekuambia upo hivyo kama unavyoweka wewe?
Wewe naona nikuache tu.
 
Wewe uwezo wako wa kusoma na kuelewa ni mdogo sana. Nimekwambia FWC 2018 ngoja nikutafsirie Fifa World Cup 2018 timu nne bora ni Belgium,Croatia,England na France. Hii ni fact na katika hizi ndio tutapata bingwa wa FWC2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…