Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kutoka kubezwa na kuitwa timu ya magazeti mpaka kuchukiwa vijana wamefanya kazi yao vizuri. Hii usiyemtaka na kumpenda kaja ina maana sana hapa watu walitaka kuona timu zao ndio zinapata matokeo mazuri imekuwa kinyume.
Kuna watu wanachuki tu. Wanaojua mpira walishaiona England na wakatabiri ikikwama. Ni nusu fainali, na leo iko nusu fainali.
England ya mwaka huu tofauti na miaka yote,haina pressure za media wala wananchi
 
Wale wanaomuuguza Ndugu yetu ni akina Nani kumbe? Kama wameweza kumsaidia Tundu Lissu basi watachukua KOMBE
 
Hizi ni hisia zako sio fact. Fact ni kuwa England ni moja ya timu nne bora kwa FWC 2018. Kwani England alijipangia awe kundi hilo unaloona ni rahisi? Wapo wenzio kwa chuki zao walisema hata kwenye hilo kundi hapiti.
Ujanja ujanja uliishia kwenye mtoano ndio maana timu zenu mnazoona ndio bora zimepukutishwa na zile mnazoona sio bora.
Takribani miaka 28 imepita England hakuweza kuifikia hiyo hatua kama waliyoifikia Jana. Kombe LA dunia hufanyika kila baada ya miaka 4.,,28 tukigawakwa kwa 4 ni 7. Hii inatupa taswira gani? England ameshiriki mara 7 kwenye kombe la Dunia Ila hiyo nafasi hakuwahi kuifikia isipokuwa ni jana. Mara 7 kwenye mashindano nchi inashiriki kwwnye michuano mikubwa Jana ndiyo wamevunja hiyo kumbukumbu. History sawa zinavunjwa kama wao walivyoivunja lakini history inakupa majibu vilevile hawa watu ni wa namna gani. Hizo ni facts wala si hisiya.

Tizama kwenye mashindano kombe la euro angalia England huwa inafikia wapi? England akikutana na wanaojua mpira huwa hafurukuti hata Siku moja. Siyo hisiya hizo, ni facts ndizo zinazoongea na Hamna mtu mwenye chuki na England. Na kusema England ipo 4 bora kwenye viwango vya FIFA huo ni uwongo uliyodhahiri. Viwango vya FIFA vinavyosimama kwa sasa hivi England ni ya 12.
 
Tusitumie hisia tutumie uhalisia. Angalia timu alizokutana nazo Portugal, Angalia timu alizokutana nazo Iran, Angalia timu alizokutana nazo Morocco, hata Uruguay tu. Unafikiri hata kwa nini match walizocheza zilivutia ulimwengu wa mpira? bali hawa wamekutana na timu zinazojua mpira. Iangalie Japan iliyokutana na Belgium mpaka Belgium wakapoteana na ubora wao ule, laiti England ingelikutana na Japan unafikiri nini kingetokea.

Wewe hushtuki kwa nini baada ya miaka 28 ndiyo leo England wanaingia semifinals za worldcup? Hujiulizi hili? Kuhusu Algeria kutokufuzu haimanishi kwamba ni wadogo.
Hueleweki unaongea nini na unataka nini
 
Aisee wewe unajaza server za JF tu. Hii ni FWC 2018 historia haikusaidii ndio maana Germany mabingwa watetezi wametoka hatua ya awali ambako kundi lake kulijuwa na Sweden unaehoji ubora wake. Spain bingwa wa 2010 katolewa na Russia ndio ilioingia kombe la dunia ikiwa lowest ranked! FWC 2018 mpira unachezwa leo sio historia yako. Halafu kumbe naongea na mtu ambae hajui hata kupambanua vitu vidogo. Semi finalists wako wanne na hao ndio wameweza kufiks hapo kwa maana hio timu nne bora za FWC 2018 England imo.
Takribani miaka 28 imepita England hakuweza kuifikia hiyo hatua kama waliyoifikia Jana. Kombe LA dunia hufanyika kila baada ya miaka 4.,,28 tukigawakwa kwa 4 ni 7. Hii inatupa taswira gani? England ameshiriki mara 7 kwenye kombe la Dunia Ila hiyo nafasi hakuwahi kuifikia isipokuwa ni jana. Mara 7 kwenye mashindano nchi inashiriki kwwnye michuano mikubwa Jana ndiyo wamevunja hiyo kumbukumbu. History sawa zinavunjwa kama wao walivyoivunja lakini history inakupa majibu vilevile hawa watu ni wa namna gani. Hizo ni facts wala si hisiya.

Tizama kwenye mashindano kombe la euro angalia England huwa inafikia wapi? England akikutana na wanaojua mpira huwa hafurukuti hata Siku moja. Siyo hisiya hizo, ni facts ndizo zinazoongea na Hamna mtu mwenye chuki na England. Na kusema England ipo 4 bora kwenye viwango vya FIFA huo ni uwongo uliyodhahiri. Viwango vya FIFA vinavyosimama kwa sasa hivi England ni ya 12.
 
Huyo anatujazia server tu na mapenzi na chuki zake binafsi.
Wewe umekuja hapa unatuongopea England ipo 4 bora kwa viwango vya FIFA. Hii takwimu umeitolea wapi wewe. Mimi naandika kwa kutumia ushahidi wa kihistoria, wewe hufanyi hivyo zaidi ya kusema Nina chuki binafsi.

Ulimwengu wa soka unajulikana kwa watu wanaofatilia soka. Na ukitaka uchambuzi uliyokuwa mzuri usitumie hisia tumia facts.
 
Robo fainali ni timu 8 bora. Sweden ni moja ya timu 8 bora. Hio ni fact iliopatikana uwanjani na sio kwa hisia.
Sasa hivi zimebaki timu nne bora duniani nazo ni Belgium,Croatia,England na France.
Sio timu nne bora duniani, timu nne bora ulaya.
 
Aisee wewe unajaza server za JF tu. Hii ni FWC 2018 historia haikusaidii ndio maana Germany mabingwa watetezi wametoka hatua ya awali ambako kundi lake kulijuwa na Sweden unaehoji ubora wake. Spain bingwa wa 2010 katolewa na Russia ndio ilioingia kombe la dunia ikiwa lowest ranked! FWC 2018 mpira unachezwa leo sio historia yako. Halafu kumbe naongea na mtu ambae hajui hata kupambanua vitu vidogo. Semi finalists wako wanne na hao ndio wameweza kufiks hapo kwa maana hio timu nne bora za FWC 2018 England imo.
Hiyo ndiyo tafsiri ya mpira na ndiyo dhana nzima kuhusu upinzani na ndicho kitu kinacholeta ladha.

Mheshimiwa huu upangaji wa timu kwa viwango vya FIFA world ranking procedure nani aliyekuambia upo hivyo kama unavyoweka wewe?
 
Back
Top Bottom