RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna watu wanachuki tu. Wanaojua mpira walishaiona England na wakatabiri ikikwama. Ni nusu fainali, na leo iko nusu fainali.Kutoka kubezwa na kuitwa timu ya magazeti mpaka kuchukiwa vijana wamefanya kazi yao vizuri. Hii usiyemtaka na kumpenda kaja ina maana sana hapa watu walitaka kuona timu zao ndio zinapata matokeo mazuri imekuwa kinyume.
England ya mwaka huu tofauti na miaka yote,haina pressure za media wala wananchi