Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

hawa england kama watachukua ubingwa huu naamini hata pale qatar wanaweza chukua tena maana kikosi chao bado kibichi mno
halafu hii ndio timu ya kwanza duniani kufuzu kwenda kombe la dunia
 
Na match ya Croatia vs England, hii match naangalia huku nimevaa suti nyeusi yaani England tunamzika mapemaaaaa.
How pathetic and idiosyncratic! Mimi nadhani wewe ndiye utakayezikwa kwanza.
 
Brilliant analysis! Absolutely spot on. Hongera sana mkuu Mtimti. Umesema vyema ilhali ukiwa objective kwa kuangalia pande zote mbili za shilingi.
 
Dada kumbe nawe mwanamichezo sijawahi kuona pande hizi.

Una Mkeka wako nini? [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa!! Mie mwanamichezo mama, hapana sina mkeka[emoji85] [emoji85]
 
Ooh. Hivyo we ni team Croatia Dada.

Nitakuwa mwenzio siku hiyo sababu England haijawahi nishawishi kuipenda. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mie Ureno, England sitaki wachukue kombe ndio maana nipo upande wa Croatia.
 
hawa england kama watachukua ubingwa huu naamini hata pale qatar wanaweza chukua tena maana kikosi chao bado kibichi mno
halafu hii ndio timu ya kwanza duniani kufuzu kwenda kombe la dunia
Kuna watoto wamechukua WC under 21...hao ndio utawaona Qatar...akina Solanke
 
Ngoja niangalie FC lupopo vs As Club Vita,..Tp Mazembe Leo anashabikia mpinzani,maana anapoteza ubingwa akishinda As Vita Club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…