Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa. Lol.Kuna watu humu wanashabikia timu eti because ina weusi wengi...alafu cha kushangaza timu hiyo hiyo iliyosheheni weusi wenzetu wakikutana na Tunisia ama Morocco..mibongo inajifanya kuwa upande wa france wakati hizo timu zipo afrika na ni ndugu zetu kabisa. Hizi ndiyo akili za wabongo huwa zinafikiria viseversa all the tme 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kha Mkuu, kama ni wako fanya maarifa vyuma vimekaza huku
Hata 200 itasaidia
Nimeirudia muione kisha muitathminiCHUKUA HIYO
PEP GUARDIOLA
2008 - 2012 BARCELONA, and SPAIN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2010..
2013 - 2016 BAYEN MUNICH, and GERMAN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2014...
2016 - HADI SASA MANCHESTER CITY,,
JE ENGLAND NDIO WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2018..???
Mnafiki , Muongo Mkubwa.Vipi umelewa...ndoto zangu zipi au unanifananisha! Kwa timu zilizobaki niko na England na Ufaransa, vipi wewe! Timu zenye weusi wengi ndiyo timu zangu!
Hahahaaaaa. Lol.
Nasema utapata tabu sana na huko ulikohamia leo.Baada ya kupotezwa na kipigo kutoka Ubelgiji Leo nimeibukia Ufaransa.Ufaransa nilipieni kisasi Kwa Mbelgiji.Mbelgiji Leo ataisoma namba
Mkuu utapigwa mara mbili.Baada ya kupotezwa na kipigo kutoka Ubelgiji Leo nimeibukia Ufaransa.Ufaransa nilipieni kisasi Kwa Mbelgiji.Mbelgiji Leo ataisoma namba
Teh teh teh nimeamua kujitoa mhanga nina Imani na vijana wangu akina Kante pogba Nadhani watawadhibiti vilivyo De Bruyne,Lukaku na Hazard na kazi itakuwa imeisha.Huku Dogo Mbape akiendelea kuleta shida pale mbele,ila Giroud Huwa simuelewi elewiMkuu utapigwa mara mbili.
Timu zote 2 ni nzuri ila France atashiriki mechi ya mshindi wa 3 Jumamosi.
Ewaaaaaaa. Mwambie mwambie bora leo asiwe na timu leo. Hahahaaaa.Mkuu utapigwa mara mbili.
Timu zote 2 ni nzuri ila France atashiriki mechi ya mshindi wa 3 Jumamosi.
France ikikung'utwa je anaweza kwenda paris na akainjoi kama enzi zile ?Na hizo ndio ukisikia changamoto za kazi, ishu ni kwamba yeye bwana Henry anataka mkono uende kinywani hivyo basi akiifunga atakuwa anashangilia nje ya mwili tu lakini ndani ya moyo wake ile damu ya uzalendo itakuwa ina muwasha vibaya mno
Hee Hajar! Kombe la Dunia kwani bado lipo? Mi kwangu lilisha kwisha mbonaSesten Zakazaka baada ya kile kichapo cha Mbwa Koko [emoji12] [emoji12] [emoji12] leo weye ni team nani?