Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kuna watu humu wanashabikia timu eti because ina weusi wengi...alafu cha kushangaza timu hiyo hiyo iliyosheheni weusi wenzetu wakikutana na Tunisia ama Morocco..mibongo inajifanya kuwa upande wa france wakati hizo timu zipo afrika na ni ndugu zetu kabisa. Hizi ndiyo akili za wabongo huwa zinafikiria viseversa all the tme 😀
Hahahaaaaa. Lol.
 
IMG_20180704_165003.jpg

Kila la kheri mkeka wangu
 
Atakuwa na wakati mgumu sana, ni kama ilivyokuwa kwa kocha wa Iran mreno Carlos Queiroz timu yake ya Iran ilipocheza na Ureno, niliona hata Iran walipopiga goli hakuwa na mashamsham mengi, alipiga ngumi tu hewani halafu akauchuna
 
Na hizo ndio ukisikia changamoto za kazi, ishu ni kwamba yeye bwana Henry anataka mkono uende kinywani hivyo basi akiifunga atakuwa anashangilia nje ya mwili tu lakini ndani ya moyo wake ile damu ya uzalendo itakuwa ina muwasha vibaya mno
 
CHUKUA HIYO

PEP GUARDIOLA

2008 - 2012 BARCELONA, and SPAIN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2010..

2013 - 2016 BAYEN MUNICH, and GERMAN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2014...

2016 - HADI SASA MANCHESTER CITY,,

JE ENGLAND NDIO WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2018..???
Nimeirudia muione kisha muitathmini
 
Vipi umelewa...ndoto zangu zipi au unanifananisha! Kwa timu zilizobaki niko na England na Ufaransa, vipi wewe! Timu zenye weusi wengi ndiyo timu zangu!
Mnafiki , Muongo Mkubwa.


Wewe wiki mbili zilizopita ulikuwa unatamba humu na kubishana na mimi kuwa England sio team leo umechange gia angani[emoji15] [emoji15]



Mungu wangu Yalabiii hii nchi ina wanafiki wakutukuka. Aiseeeeh.



Eeeeeeh Mola epusha wanafiki kama hawa. Si wewe uliesema England hawezi fika robo fainal au niweke snap zako humu. Leo unasema upo na England??? Duuuuh unafiki unafiki utawamaliza watanganyika.



Leo unaishabikia England eti ina weusi sana. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]



Ama kweli tembea uone.
 
Hahahaaaaa. Lol.

Umeona Hajar! Kuna mijitu humu zikikutana timu mbili Tunisia & european team, watashabikia timu ya ulaya eti because hawa ni waarabu sio wa kuwashabikia wanajisahau kuwa hawa ni ndugu zetu kutoka afrika na ni waafrika. Lakini zimapokutana labda senegal & belgium..utaona comments za mibongo humu iko upande wa senegal. Acha twendelee kuwa watumwa wa wazungu...
 
Finally mfaransa Thierry Henry atakua benchi la ufundi la timu pinzani.
 
Mkuu utapigwa mara mbili.
Timu zote 2 ni nzuri ila France atashiriki mechi ya mshindi wa 3 Jumamosi.
Teh teh teh nimeamua kujitoa mhanga nina Imani na vijana wangu akina Kante pogba Nadhani watawadhibiti vilivyo De Bruyne,Lukaku na Hazard na kazi itakuwa imeisha.Huku Dogo Mbape akiendelea kuleta shida pale mbele,ila Giroud Huwa simuelewi elewi
 
Na hizo ndio ukisikia changamoto za kazi, ishu ni kwamba yeye bwana Henry anataka mkono uende kinywani hivyo basi akiifunga atakuwa anashangilia nje ya mwili tu lakini ndani ya moyo wake ile damu ya uzalendo itakuwa ina muwasha vibaya mno
France ikikung'utwa je anaweza kwenda paris na akainjoi kama enzi zile ?
 
Back
Top Bottom