Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Wee acha tu Hajar hata Taifa Stars ikifungwaga siumii kama ninavyoumia ikifungwa Brazil, kweli mpira hauna mipaka ya kijiografia
Hahahaaa. Pole sana na ni kweli mpira hauna mipaka kijiografia na wala sio uongo.

Subiria Copa America mwakani, tena Brazil ndio atakuwa mwenyeji au World Cup ijayo kama tutakuwa hai Insha Allah huenda mkafanya maajabu.
 
Sisi hua hatufanyi maajabu kwa kutwaa mataji Hajar,hiyo ni kawaida yetu, maajabu ni Brazil inapotolewa mashindanoni
 
Belgium ikiifunga France Thierry Henry atapata heshima kubwa ya kuchukua kombe akiwa mchezaji na akiwa kocha.

Hii inaweza kusababisha kupewa nafasi ya kuifundisha France siku za baadae.
 
IMG_20180704_165003.jpg

Huu mkeka nimeutandika tangu tarehe 29 june, hatua za makundi zilipomalizika.

Niliangalia mwenendo wa kila timu kwenye michuano hii pasipo na kuangalia ukubwa wa timu au ubora wa mchezaji fulani kwenye timu fulani ndio nika uandaa, hadi sasa nimelose/nimechaniwa vipande viwili tu.

Kila la kheri mkeka wangu, nusu fainali inanukia...
 
View attachment 806370

Mkeka wako mbona hauna mwendelezo?
 
Dah! Niliona bandiko la huu mkeka nikawa sitaki kuamini hasa kuhusiana na mechi ya Brazil na Belgium lakini ndio kilichotokea kama kilivyo kwnye mkeka wako....unatisha mkuu
 
Hata kama ni kawaida, ila unapaswa kukubali kuwa timu ilikuwa mbovu ndio maana ikaaga mapema
Brazil ni kweli haikua nzuri sana mwaka huu na kocha pia alizingua upangaji wa kikosi, kutolewa mapema ilikua stahili yetu. Kwenye ranking za FIFA ubora wa nchi kisoka nilikua nashangaa Belgium wapo namba moja muda mfupi kabda ya kuanza FIFA WC lakini sasa nimepata majibu
 
Back
Top Bottom