Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,257
hahahahaha, d'accord.suivre le courant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha, d'accord.suivre le courant
Dada kumbe nawe mwanamichezo sijawahi kuona pande hizi.England wakitoboa kwa Croatia nitaumia sana.
How pathetic and idiosyncratic! Mimi nadhani wewe ndiye utakayezikwa kwanza.Na match ya Croatia vs England, hii match naangalia huku nimevaa suti nyeusi yaani England tunamzika mapemaaaaa.
Brilliant analysis! Absolutely spot on. Hongera sana mkuu Mtimti. Umesema vyema ilhali ukiwa objective kwa kuangalia pande zote mbili za shilingi.Nimegundua humu watu wengi wana chuki na England na wala hawashughulishi vichwa vyao kuangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa England na uzoefu walionao.
Wachezaji wa England wengi ni wachanga kwenye mechi za kimataifa na wapo pale kutengeneza jina na wala sio kuwabeba Fans. Timu toka imechaguliwa mpk inaondoka ilikuwa haipewi nafasi ya kufika hata nusu fainali, waingereza wenyewe waliipa mpk robo fainali lkn vijana wameonesha uwezo na kujituma kwa hali ya juu.
Pressure ambayo wanayo timu ya France na Belgium ni tofauti kabisa na pressure waliyonayo waingereza sababu Belgium alishapewa nafasi kubwa sana ya kufanya vizuri. Wafaransa hawakupewa nafasi kubwa lkn wameandikwa sana kama timu yenye wachezaji vijana wenye vipaji ambao wanahitaji kuunganishwa tu ili wafike mbali.
Mechi ya Croatia na England, wengi mnaipa Croatia nafasi ya kushinda sababu ina Modric pale kati, mnasahau kuwa waingereza ni mabingwa wa mipira mirefu na cross. Hivyo kuipa Croatia nafasi ya kushinda dhidi ya England 'eti' kwa sababu tu kuna majina matatu makubwa mnakuwa hamjitendei haki, matokeo yake England akishinda mnakuja hapa na kusema inacheza na timu rahisi......kwenye kombe la dunia hakuna timu rahisi, kungekua na timu rahisi basi Spain na German wangekuwepo mpk leo
Hahahaaaa!! Mie mwanamichezo mama, hapana sina mkeka[emoji85] [emoji85]Dada kumbe nawe mwanamichezo sijawahi kuona pande hizi.
Una Mkeka wako nini? [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ooh. Hivyo we ni team Croatia Dada.Hahahaaaa!! Mie mwanamichezo mama, hapana sina mkeka[emoji85] [emoji85]
Mie Ureno, England sitaki wachukue kombe ndio maana nipo upande wa Croatia.Ooh. Hivyo we ni team Croatia Dada.
Nitakuwa mwenzio siku hiyo sababu England haijawahi nishawishi kuipenda. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuna watoto wamechukua WC under 21...hao ndio utawaona Qatar...akina Solankehawa england kama watachukua ubingwa huu naamini hata pale qatar wanaweza chukua tena maana kikosi chao bado kibichi mno
halafu hii ndio timu ya kwanza duniani kufuzu kwenda kombe la dunia
Ooh. Sawa Dada.Mie Ureno, England sitaki wachukue kombe ndio maana nipo upande wa Croatia.
[emoji23]
Baadaye, waziri Mkuu wa Russia uzalendo ulimuingia zaidi...fair play ikawa mashakani....thubutu
NimelazwaHahahaha natumai ulilia sana.