Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wahujumu uchumi ni wao wanaotuingiza kwenye hasara za mabilioni kutokana na kukurupuka kwao.Salary Slip ukuje humu muzee! au nawe ume changanywa kwenye uhujumu uchumi? maana siku hizi hata ukiwaumbua wasio julikana unaitwa muhujumu uchumi
lukaku anabeba kombe
ndio mkuu bora kua specificHa ha ha
Nasikia Mdude umepangiwa route ya Dar-Mumbai( kupeleka Wagonjwa) na kuleta WATALII FROM MUMBAI.Chama cha Mashoga na Watu wasiojulikana Leo ndio watashabikia France
Fellain.... Yes. Belgium dhidi ya Brazil, Fellain ndiye aliyekuwa mzizi wa kwanza wa kuizuia Brazil kabla ya Hazard kuiogopesha. Martinez alianzia hapo, na Tite akafia hapo. Pengine msaada mkubwa kwa Munier ulianzia kwa Fellain. Hapa Fellain alianza kwanza kwenye miguu ya Neymar ndio mpira umfikie Munier.
Leo Mungu kawajaalia tena kawapa Klyane Mbappe upande huo. Bahati nzuri kwa Munier ni kukutana na wachezaji ambao anafanya nao mazoezi katika klabu ya PSG.......
Kama Chadli atakosa mchezo huu basi hapo panaweza kuwa sehemu yenye kidonda kwa Martinez. Carrasco alishindwa kabisa kupanda na kushuka kama wingback na sijui kama Vermaleen kama anaweza kuwa msaada katika hilo.
Sasa subiri watu kama Spika kila baada ya miezi miwili atataka kwenda hata bila referral toka Muhimbili bora apate tuu ok ya jumba jeupeNasikia Mdude umepangiwa route ya Dar-Mumbai( kupeleka Wagonjwa) na kuleta WATALII FROM MUMBAI.
Kwa hyo unataka kuniambia ile ahadi niliyopewa leo yakutunikiwa saa tatu usiku na mwanamke niliepambana nae kwa miaka miwili niipotezee?[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Duuh! Rafiki.
Hapa tunatofautiana leo kwa kweli.
Hapo kwa Mbappe hapoFellain.... Yes. Belgium dhidi ya Brazil, Fellain ndiye aliyekuwa mzizi wa kwanza wa kuizuia Brazil kabla ya Hazard kuiogopesha. Martinez alianzia hapo, na Tite akafia hapo. Pengine msaada mkubwa kwa Munier ulianzia kwa Fellain. Hapa Fellain alianza kwanza kwenye miguu ya Neymar ndio mpira umfikie Munier.
Leo Mungu kawajaalia tena kawapa Klyane Mbappe upande huo. Bahati nzuri kwa Munier ni kukutana na wachezaji ambao anafanya nao mazoezi katika klabu ya PSG.......
Kama Chadli atakosa mchezo huu basi hapo panaweza kuwa sehemu yenye kidonda kwa Martinez. Carrasco alishindwa kabisa kupanda na kushuka kama wingback na sijui kama Vermaleen kama anaweza kuwa msaada katika hilo.
In France i strust [emoji134]Leo ndio Leo Mtoto Hatumwi Gengeni, Ni Nusu Fainali ya kwanza ya WORLD CUP ambapo FRANCE anakipiga na BELGIUM. VARANE, na UMTITI wataweza Kuwazuia HAZARD na DE BRUYNE? Au ALDERWEIRD na KOMPANY wataweza Kuzima Moto wa MBAPPE? Nani Atashinda nani atarudi nyumbani?
Nipo hapaJamn wale tim France tujijtokeze
Mapemaa
Andaa popcorn za kutosha tu Numbisa maana burudani itakua tele kwa teleBasi mpira wa leo mtamu sana best
Sana yaani tena sana rafiki.Basi mpira wa leo mtamu sana best
Aaaah sasa shukrani gani hiyo? Inakuwa kama ile waliyopewa Nape na Mwigulu?Nawashukuru kwa kumtunza lisu na kumpa ulinzi...Lakini leo Belgium anakula kipigo cha mbwa koko
Mkuu soka ni kitu kingine..Aaaah sasa shukrani gani hiyo? Inakuwa kama ile waliyopewa Nape na Mwigulu?
Yaani finger crossed my dada. Nawakubali wote ila France nawashangilia kwa vile ni weusi wenzangu