Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Salary Slip ukuje humu muzee! au nawe ume changanywa kwenye uhujumu uchumi? maana siku hizi hata ukiwaumbua wasio julikana unaitwa muhujumu uchumi
Wahujumu uchumi ni wao wanaotuingiza kwenye hasara za mabilioni kutokana na kukurupuka kwao.

Mimi binafsi ningependa sana Ubelgiji ashinde kwasababu hajawahi kupata hilo kombe na pia wanamtibu kamanda wetu kwa viwango vya kimataifa.
 
Naona saiz watu mnachambua kwa umakini,,,,, sio zaman mlikuwa mnataja tuu oooh brazil anachukua kombe, mara oooh germany anachukua kombe msimu huuu yeyote anabeba,,,,, cration
 
Munier leo hatakuwepo baada ya kupewa kati ya njano game against Brazil.
Fellain.... Yes. Belgium dhidi ya Brazil, Fellain ndiye aliyekuwa mzizi wa kwanza wa kuizuia Brazil kabla ya Hazard kuiogopesha. Martinez alianzia hapo, na Tite akafia hapo. Pengine msaada mkubwa kwa Munier ulianzia kwa Fellain. Hapa Fellain alianza kwanza kwenye miguu ya Neymar ndio mpira umfikie Munier.

Leo Mungu kawajaalia tena kawapa Klyane Mbappe upande huo. Bahati nzuri kwa Munier ni kukutana na wachezaji ambao anafanya nao mazoezi katika klabu ya PSG.......

Kama Chadli atakosa mchezo huu basi hapo panaweza kuwa sehemu yenye kidonda kwa Martinez. Carrasco alishindwa kabisa kupanda na kushuka kama wingback na sijui kama Vermaleen kama anaweza kuwa msaada katika hilo.
 
Am debating

36592903_2264247413592037_6701307046676922368_n.jpg
 
Nawashukuru kwa kumtunza lisu na kumpa ulinzi...Lakini leo Belgium anakula kipigo cha mbwa koko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hyo unataka kuniambia ile ahadi niliyopewa leo yakutunikiwa saa tatu usiku na mwanamke niliepambana nae kwa miaka miwili niipotezee?[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Fellain.... Yes. Belgium dhidi ya Brazil, Fellain ndiye aliyekuwa mzizi wa kwanza wa kuizuia Brazil kabla ya Hazard kuiogopesha. Martinez alianzia hapo, na Tite akafia hapo. Pengine msaada mkubwa kwa Munier ulianzia kwa Fellain. Hapa Fellain alianza kwanza kwenye miguu ya Neymar ndio mpira umfikie Munier.

Leo Mungu kawajaalia tena kawapa Klyane Mbappe upande huo. Bahati nzuri kwa Munier ni kukutana na wachezaji ambao anafanya nao mazoezi katika klabu ya PSG.......

Kama Chadli atakosa mchezo huu basi hapo panaweza kuwa sehemu yenye kidonda kwa Martinez. Carrasco alishindwa kabisa kupanda na kushuka kama wingback na sijui kama Vermaleen kama anaweza kuwa msaada katika hilo.
Hapo kwa Mbappe hapo
 
Aaaah sasa shukrani gani hiyo? Inakuwa kama ile waliyopewa Nape na Mwigulu?
Mkuu soka ni kitu kingine..
Fikiria leo henry moyoni atakuwa anashabikia wapi?
Team yake ya taifa france au team yake anayoifundisha kama kocha msaidizi belgium

Kwahio mimi belgium nawaheshimu sana kwa moyo wao wa ukarimu kwa kaka yetu wa taifa lakini kwenye soka apigwe tu sababu france iko rohoni
 
Back
Top Bottom