dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Mzee huamini auSio kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee huamini auSio kweli
Kila nikiwauliza mababu wanakataa mkuu, wanasema wanaiona Belgium ikishangilia na ndoo.Mzee huamini au
Hahaha akina Mwl. Kashasha na jopo lake. Watakuwa wanarusha mkuu.Nipo mbali na dstv wakuu hawa tbc1 vipi wanarusha?
msaada kwa anaefahamu
AsanteHahaha akina Mwl. Kashasha na jopo lake. Watakuwa wanarusha mkuu.
Na Belgium ndo ma Bingwa this time! Mark this.Mchezo wa leo ndio unaamua Bingwa wa msimu huu.
Naomba tuwe pamoja kwenye kushabikia..Kuna wadada wengne watakuwa wanashabikia team ipi ina mahandsome wengi hawatojali ipi ni Belgium ipi ni France [emoji16][emoji16] raha sana
View attachment 806692
Mechi ya leo ni ngumu, kila mmoja humu kajipambanua upande aliopo.
Mimi naendelea kushikilia mkeka wangu kama kawaida.
Mshindi wa leo ndio Bingwa wa WC 2018.
Duh!! KumbeeeeeKuna wadada wengne watakuwa wanashabikia team ipi ina mahandsome wengi hawatojali ipi ni Belgium ipi ni France [emoji16][emoji16] raha sana
Rudia kuangalia tena.Sion mkeka wako unasema nini Juu ya match ya leo, chief.
Vizuri, nmeona. Tupo pamoja!Rudia kuangalia tena.
Pia nimesema mechi ya leo ni ngumu, naendelea kushikilia mkeka wangu
MamboHaya wapenzi watizamaji tujongee eneo la tukio...