Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Matokeo baina ya France na Belgium hayakunishangaza kabisa; nilishayaona tangu wiki mbili zilizopita.

Ingawa Belgium ni timu nzuri sana, haikufanyiwa haki kupangwa dhidi ya ufaransa kwenye nusu fainali, ingepangiwa labda uingereza ua Croatia kusudi wakutane na Ufaranza kwenye fainali. Timu ya ufaransa ina watoto wengi ambao ni flexible, sharp na na reslient sana. Kama England haijabadili mchezo wao zaidi ya walivyofanya dhidi ya Sweden, basi nao watafungasha virago vyao kesho.
 


huyu nae, atakuwa amefurahi kirohoroho.
Viva France.
Nawatakia mchukue kabisa kombe, wakichukua England dunia itasimama kwa kelele zao.
BBC watatangaza hiyo habari hadi kwenye utabiri wa hali ya hewa.
 
Hongera sana, Chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…