HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaa safari hii ntanyoa hadi kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaa safari hii ntanyoa hadi kichwani
dimba lipi unalzungumzia mkuuHahahahaa... Siri ya ushindi ni ubunifu na kujiamini...kutopanic na matumizi mazuri ya mbinu za dimbani[emoji16][emoji111]
Asante sana, kwako pia.Poa bro, usiku mwema.
Hapana, hayo ni matumaini yako tu, lakini kati ya England Croatia hakuna timu ya kuifunga Ufaransa. Timu ngumu zilikuwa ni Belgium, Brazil na Uruguay ambazo zimesharudi mtaani.Ufaransa watapigwa fainali. Akili inanituma hivyo.
Ahsante bro.Asante sana, kwako pia.
Daaaaah
@shunie hakuwa na timu leo,..tangu bebe wake aondolewe hana ham na michezo ya wakubwaHaani nimefurahi sanaaa leo, wapi Shunie
Hongereni sana.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ha hahHali ni mbaya sana hasira nazimalizia kwenye kilevi
Mkuu Leo angalau nimesuuzika nafsi yangu,Hawa Belgium waliniudhi sana kumfunga Brazil,niliwambia Malipo hapa hapa DunianiBasi tena!!
Hongereni mlioshinda.
Bila shaka,.Belgium wako vzr ila upepo haukuwavumia tuu pande zao...lakini mwisho wa siku viwili vya teulika...safari njema kwao,.Ila mmestress pia this time.Ninadhani hii ndio imekua mechi ngumu ya France kuliko zote ...
Daaa acha tuMarahabaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, hayo ni matumaini yako tu, lakini kati ya England Croatia hakuna timu ya kuifunga Ufaransa. Timu ngumu zilikuwa ni Belgium, Brazil na Uruguay ambazo zimesharudi mtaani.
Bila shaka,.Belgium wako vzr ila upepo haukuwavumia tuu pande zao...lakini mwisho wa siku viwili vya teulika...safari njema kwao,.