TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ufaransa wamecheza kwa umakini...!Walistahili. Lukaku hakutakiwa kucheza dk 90.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Belgium uwezo wao mdogo ukilinganisha na France.Brazil ubinafsi wa akina Neymar ndo uliifanya Belgium ing'are.Ndio Chief, sema wamecheza chini ya kiwango sikutegemea game kama ya leo kupoa kiasi hiki.
Tunaumia Kwa zamudaah nimeumia sana
Nakutaftia hapa kifuta machozi,..tulia tuu hapohapo chiefWapi pole yangu, Chief.?
Anashinda England keshoEngland kesho anapigwa, tena tunalala mapema kama leo.
Pole sana shem darling,. Uje kunywa supu ya pweza asbh[emoji16][emoji23]Daaa acha tu
Leo ulikuwa France?Haya mliopaki basi leo,.kwa heshma na taadhima niwatakie tuu safari njema,..
Hongereni sana.
Okay,Nakutaftia hapa kifuta machozi,..tulia tuu hapohapo chief
Tusubiri hiyo kesho, sioni namna anaweza shindaAnashinda England kesho
Hongera sana, Mate.Shukran sana
Yes yes chief,.Leo ulikuwa France?
Uchambuzi huu ulitakiwa utolewe kabla ya mechi. Kwa sasa....inabaki" simumeona nilikuwa nawaza hivyo hivyo!"Wachambuzi wa mpira bongo ni waongo sana, hawajui kuchambua, wanachojua ni kukariri historia ya mpira tu. Mchambuzi anayeaminiwa kabisa amekaa kwenye TV halafu anasema Belgium anaweza kumfunga France.
Japo Belgium ni timu nzuri, lakini kwa aina ya mchezo wao ilikuwa ni dhahiri wanafungwa ukilinganisha aina ya mchezo wanaocheza France.
Tukutane kesho.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji111][emoji111][emoji111][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hongera,Yes yes chief,.