capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
mkuu capitalpool , tushapoteza hii...
Ndio Chief, sema wamecheza chini ya kiwango sikutegemea game kama ya leo kupoa kiasi hiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu capitalpool , tushapoteza hii...
England kesho anapigwa, tena tunalala mapema kama leo.UFARANSA bingwa haijalishi nani kesho atashinda, ila kama akipita England fainali itaboa sana, kwani minimum atakula 3, bora kidogo Croatia anaweza kuleta upinzani.
Pole mkuuMe nalia jaman dah inauma sana
Tukutane Kesho Chief, Watoto wa malkia wabook tickets usiku huu.Mkuu, umekubali?
Naomba nikubembeleze dembadaah nimeumia sana
We won[emoji111][emoji111][emoji1]Enjoy ,game yako hy
Sure, japo walianza vizuri then upepo ukageuka.Ndio Chief, sema wamecheza chini ya kiwango sikutegemea game kama ya leo kupoa kiasi hiki.
Hahahahaa...![]()
huyu nae, atakuwa amefurahi kirohoroho.
Viva France.
Nawatakia mchukue kabisa kombe, wakichukua England dunia itasimama kwa kelele zao.
BBC watatangaza hiyo habari hadi kwenye utabiri wa hali ya hewa.
Hakuna matata kakaTukutane Kesho Chief, Watoto wa malkia wabook tickets usiku huu.
Congratulations mtumishi!!We won[emoji111][emoji111][emoji1]
Hongera sana, Chief.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaa mbali na France
Nafikiri kesi ubakaji( sorry ukabaji) inamuhusu.Ana kesi ya uzururaji