Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Wachambuzi wa mpira bongo ni waongo sana, hawajui kuchambua, wanachojua ni kukariri historia ya mpira tu. Mchambuzi anayeaminiwa kabisa amekaa kwenye TV halafu anasema Belgium anaweza kumfunga France.

Japo Belgium ni timu nzuri, lakini kwa aina ya mchezo wao ilikuwa ni dhahiri wanafungwa ukilinganisha aina ya mchezo wanaocheza France.

Tukutane kesho.
 
Uchambuzi huu ulitakiwa utolewe kabla ya mechi. Kwa sasa....inabaki" simumeona nilikuwa nawaza hivyo hivyo!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…