Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Bila shaka,.Belgium wako vzr ila upepo haukuwavumia tuu pande zao...lakini mwisho wa siku viwili vya teulika...safari njema kwao,.
Jana pressure ilikuwa inapanda then inashuka, mechi ilivyoanza nikasema leo tunafungwa hapa, nikaondoka kwenye tv, nikawaambia watoto France akifunga mje mniite, ndio nikarudi tena.......all in all Ubelgiji wapo vizuri, sio timu ya mchezo mchezo
 
Kabisa,wacha tusubiri fainali kama anaweza kufanya makubwa pia.

Wewe ni Shabiki wa France..?
Yeah, since 1998, nilianza kuishabikia hii timu sababu ya Thiery, na ndie aliyesababisha nikawa mshabiki wa arsenal....japo msimu uliopita nilijiweka kando kidogo na arsenal
 
Jana pressure ilikuwa inapanda then inashuka, mechi ilivyoanza nikasema leo tunafungwa hapa, nikaondoka kwenye tv, nikawaambia watoto France akifunga mje mniite, ndio nikarudi tena.......all in all Ubelgiji wapo vizuri, sio timu ya mchezo mchezo
France walivyoshinda goli lao moja kwa kiasi flani walirudi nyuma kulinda ushindi wao,wakitegemea mashambulizi ya kuvizia,Belgium kacheza vizuri.

Mimi si shabiki wa France japo Mbape ni mchezaji ni naye mfatilia kwa ukaribu.
 
Yeah, since 1998, nilianza kuishabikia hii timu sababu ya Thiery, na ndie aliyesababisha nikawa mshabiki wa arsenal....japo msimu uliopita nilijiweka kando kidogo na arsenal
Hongera sana toka 98'.

Mimi ndugu zangu wengi na kaka zangu ni shabiki wa Arsenal hivyo wengi wao wapo France kwa Nguvu ya usumaku wa Thierry Henry kipindi hicho anatamba na arsenal.

Mimi nikawa kinyume chao,hata fainali ya 2006 World cup niliishabikia Italy ilimradi tu kaka zangu wa Arsenal-france ni waumize na ikawa hivyo.
 
Tehtehtehteh......nilikuwa nampenda sana Henry
 
Tehtehtehteh......nilikuwa nampenda sana Henry
Hahaha,Mimi hao kaka zangu ulikuwa huwaambii kitu kuhusu Thierry wakati mwingine wakamupachika jina la CHAIJABA,au mzee wa salamu-salamu (uchezaji wake style).Arsenal ya Thierry Henry ilitisha sana, mimi ni shabiki wa man united.

Kwa hiyo arsenal umeshaitupilia mbali..?
 
Jana pressure ilikuwa inapanda then inashuka, mechi ilivyoanza nikasema leo tunafungwa hapa, nikaondoka kwenye tv, nikawaambia watoto France akifunga mje mniite, ndio nikarudi tena.......all in all Ubelgiji wapo vizuri, sio timu ya mchezo mchezo
Hahaha kabisa dear jana nilihisi naangalia zaidi ya mpira,..sio kwa kuhaha kulee....acha tulibebe safari hii,.
 
Nilitoka kwa mkopo kwenda kushabikia New Castle japo nayo haikufanya vizuri, msimu huu naweza kurudi kuendelea na arsenal
 
Kwa hali ilivyo croatia ni wazi croatia anamfunga leo England na kwenda kubeba worldcup kirahisi against France

Pia ikumbukwe rekodi zinaonyesha kila baada ya miaka 20 kombe la dunia hupata bingwa mpya na kwa timu zilizobaki ni wazi croatia ndio bingwa mpya mwenyewe kwani France na England wote wameshawahi kubeba kombe hili

Kuchukua ubingwa kwa Croatia pia itasaidia kuuonyesha ulimwengu ubora wa kiungo Luka Modric ambaye amekuwa underated kwa muda mrefu na wanazi wa soka

Tukutane baadae saa 3 kamili kuthibitisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…