Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Kila la kheri rafiki.Haya ila fainali bado nipo na France tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kila la kheri rafiki.Haya ila fainali bado nipo na France tu
Hahaa. Sanaaaaaa.Kabisa,France wapo moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole yake@shunie hakuwa na timu leo,..tangu bebe wake aondolewe hana ham na michezo ya wakubwa
Dogo yuko vizuri sanaHahaha,
Naona bwana mdogo mbape katika fainali.
Kabisa,wacha tusubiri fainali kama anaweza kufanya makubwa pia.Dogo yuko vizuri sana
Jana pressure ilikuwa inapanda then inashuka, mechi ilivyoanza nikasema leo tunafungwa hapa, nikaondoka kwenye tv, nikawaambia watoto France akifunga mje mniite, ndio nikarudi tena.......all in all Ubelgiji wapo vizuri, sio timu ya mchezo mchezoBila shaka,.Belgium wako vzr ila upepo haukuwavumia tuu pande zao...lakini mwisho wa siku viwili vya teulika...safari njema kwao,.
Yeah, since 1998, nilianza kuishabikia hii timu sababu ya Thiery, na ndie aliyesababisha nikawa mshabiki wa arsenal....japo msimu uliopita nilijiweka kando kidogo na arsenalKabisa,wacha tusubiri fainali kama anaweza kufanya makubwa pia.
Wewe ni Shabiki wa France..?
France walivyoshinda goli lao moja kwa kiasi flani walirudi nyuma kulinda ushindi wao,wakitegemea mashambulizi ya kuvizia,Belgium kacheza vizuri.Jana pressure ilikuwa inapanda then inashuka, mechi ilivyoanza nikasema leo tunafungwa hapa, nikaondoka kwenye tv, nikawaambia watoto France akifunga mje mniite, ndio nikarudi tena.......all in all Ubelgiji wapo vizuri, sio timu ya mchezo mchezo
Hongera sana toka 98'.Yeah, since 1998, nilianza kuishabikia hii timu sababu ya Thiery, na ndie aliyesababisha nikawa mshabiki wa arsenal....japo msimu uliopita nilijiweka kando kidogo na arsenal
Tehtehtehteh......nilikuwa nampenda sana HenryHongera sana toka 98'.
Mimi ndugu zangu wengi na kaka zangu ni shabiki wa Arsenal hivyo wengi wao wapo France kwa Nguvu ya usumaku wa Thierry Henry kipindi hicho anatamba na arsenal.
Mimi nikawa kinyume chao,hata fainali ya 2006 World cup niliishabikia Italy ilimradi tu kaka zangu wa Arsenal-france ni waumize na ikawa hivyo.
Hahaha,Mimi hao kaka zangu ulikuwa huwaambii kitu kuhusu Thierry wakati mwingine wakamupachika jina la CHAIJABA,au mzee wa salamu-salamu (uchezaji wake style).Arsenal ya Thierry Henry ilitisha sana, mimi ni shabiki wa man united.Tehtehtehteh......nilikuwa nampenda sana Henry
Hahaha kabisa dear jana nilihisi naangalia zaidi ya mpira,..sio kwa kuhaha kulee....acha tulibebe safari hii,.Jana pressure ilikuwa inapanda then inashuka, mechi ilivyoanza nikasema leo tunafungwa hapa, nikaondoka kwenye tv, nikawaambia watoto France akifunga mje mniite, ndio nikarudi tena.......all in all Ubelgiji wapo vizuri, sio timu ya mchezo mchezo
Mie sababu nilikosa timu nilikua nashabikia spain na portugal na pia niliombea brazil itolewe kama nnavyoombea england itoke
Nilitoka kwa mkopo kwenda kushabikia New Castle japo nayo haikufanya vizuri, msimu huu naweza kurudi kuendelea na arsenalHahaha,Mimi hao kaka zangu ulikuwa huwaambii kitu kuhusu Thierry wakati mwingine wakamupachika jina la CHAIJABA,au mzee wa salamu-salamu (uchezaji wake style).Arsenal ya Thierry Henry ilitisha sana, mimi ni shabiki wa man united.
Kwa hiyo arsenal umeshaitupilia mbali..?
Sawa-sawa,Maandalizi mema ya msimu mpya na kocha Mpya Unai.Nilitoka kwa mkopo kwenda kushabikia New Castle japo nayo haikufanya vizuri, msimu huu naweza kurudi kuendelea na arsenal