Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri mwisho wakewana bambiana bambiana na kipa
hamna namna leo wacha tu tuwe team mkoloniEngland best
nambie bas[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wakibeba kombe ntafurahi snaLeo England mbele kwa mbele
Croatia piaCroatia, Brother. We leo wap.?
Poa . . Wacha tuone tunatokaje hapa.Croatia pia
Tunawalaza mapema tukirud kipind cha pili tunapiga chuma cha pili mchezo umeishaCroatia pia
Tushashinda hii ngoma tunamfuata france mwenye mchezo wa kihuniTatizo england ikicheza na wazungu wenzake wa ulaya huwa anawamudu sana.
anaweza kuponyoka hapa kimchzomchezo
Wa mwisho atakua wa kwanza.Yeah,na bado mapema.. Kuweni na nidhamu tuu dimbani