Bado unaamini hivyoCroatia hawana uwezo wa kurudisha hilo goli...labda England waongoze...England ndio mabingwa wa kombe la dunia hakuna wa kuwazuia
Jinsi watavyotulia na england watatulia zaidi.
Washarudisha tayariSioni wakirudisha zaidi ya kuongezwa!
Huyo Dogo km humjui atakuudhi sana,ingekua bongo tungesema anagawana posho na kochaSterling ana kazi ya kubinua kiuno tu