Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

England wamefanya makosa, hii pressure wanayoweka sasa walitakiwa wawe nayo
Badala yake wakarudi nyuma, sasa kinabuma kwao.
 
Mliokaa seblen kataften dhana mjizuie na mbu hii ngoma ndo kwanza inatoka bandarini kuelekea kapirimposh zambia
 
Croatia wamona udhaifu wa England katika kiungo, wanachukua mipira na kuipeleka kwa winga wao. England wapo vulnerable nitashangaa wakichomoa hii ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…