Jus like me!Yan nataman uishe tu
How I wish my dream to be reality!!Kombe linakwenda Croatia
Kusema kweli England wamezidiwa kwa kila hali...Tayari, England wanaelekea nyumbani. Goli lilionekana ilikuwa suala la muda tu
Naona nyingi!Nmefurahi hata ivo .. 4mins to Go
na england wangepita finali ingeboa sana,Dah kweli England hawaeleweki sasa washaipa timu yangu wakati mgumu ....maana kiukweli hawa crotia wafaransa tutapata tabu sana bora wangepita hawa waingereza kombe tungelibeba asubuhi asubuhi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wacha tuwalaze mapema leo!kama siku ya Liverpool na Madrid!Pub zinejaa leo England ingefunga Uingereza kusingelalika
Mimi pia game jana iliniumaYani niliipenda ubelgiji kuliko
Hizi za mandzuchuki za kulala lalaRefa anataka kutuhujumu, hizi dakika 4 zimetokea wapi sasa.
Halaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!Oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!