Where were u!![emoji8][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cheers babe [emoji8]
Nilikuambia mimi.
Yaani timu na bench la ufundi la England linatia huruma. Ila ukweli hawakustahili kuingia fainali kwa muziki huu wa akina Modrich. Yaani nasisitiza Croatia bingwa.Pub zinejaa leo England ingefunga Uingereza kusingelalika
Wacha weeee!!!!
Hutaamini baada ya mechi hiyo
"Football is coming home"
Mie nina Imani Croatia atafungwa
Cheers.....!!!!!!!!!!!!!!!! Halaaaaaaa
Oyoooooooo cheers kwa wana Croatia wote tusherekee pamoja jamani
Halaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!
HalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWoyooooo
Mimi Niko kwa modrickNawasalimu tu wakuu
Mandzukic [emoji7][emoji1434]
Hahahaa...Wanatangaza nw matokeo yamefutwa check bbc sports
Amefufuka ghafla![emoji30][emoji30][emoji30]Where were u!![emoji8][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Where were u!![emoji8][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani!naona sioni wadada kama kawa mi nimeibuka dkk ya 80 hapa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3]Amefufuka ghafla![emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya bwana,Nawasalimu tu wakuu
Mandzukic [emoji7][emoji1434]
Watu wa humu sijui hawafuatilii mpira sijui ni ubishi tu, unaipa heko England kwa Croatia, kwanza washukuru Mungu Croatia wachezaji wake wanaonakana kama bado wamechoka.Yaani timu na bench la ufundi la England linatia huruma. Ila ukweli hawakustahili kuingia fainali kwa muziki huu wa akina Modrich. Yaani nasisitiza Croatia bingwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi za mandzuchuki za kulala lala
Aiseee pia nmesema tu Hawa lazma walichotewa na EnglandRefa anataka kutuhujumu, hizi dakika 4 zimetokea wapi sasa.
nenda kapande drimu laina inaenda england keshoIt's coming home! Hamna ubishi. Kipindi cha pili England wanaweka cha pili kisha mchezo umeisha.
France hana cha kutisha. Anakalishwa mapema sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] miye nilipofungwa nkaangalia tamthilia Mara paap wamerudisha nikachange motion!Sikutaka kupoteza hata sekunde nje ya screen,ilikuwa ni mechi niliyoisubiri kwa hamu sana.
Ngoja nilale sasa,nina rahaaaaaaaaaaa.