Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

IMG_20180711_234701.jpg
 
Yaani timu na bench la ufundi la England linatia huruma. Ila ukweli hawakustahili kuingia fainali kwa muziki huu wa akina Modrich. Yaani nasisitiza Croatia bingwa.
Watu wa humu sijui hawafuatilii mpira sijui ni ubishi tu, unaipa heko England kwa Croatia, kwanza washukuru Mungu Croatia wachezaji wake wanaonakana kama bado wamechoka.
 
Ila england wamejitahidi sana kikosi kilikuwa na vijana wadogo wengi credit kwao watafanya vyema wakifikisha miaka ya luka na perisic huko baadae.
 
Back
Top Bottom