chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
Jamani raha niliyonayo basi tu ila ulitabiri vyema jamani mwaaaaCheers babe [emoji8]
Nilikuambia mimi.
Note this.Croatia akipita kesho, Bingwa ni CROATIA
Na kweli nahisi wameenda kucheza kwenye vyumba vya kubadilishia nguo utanipa matokeo.bado hata dhidi ya russia walipata goli kisha wakachomolewa ngoma ikaenda matuta...
Lemme reserve my comment[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haya bwana,
Fainali itakuwa ni dakika 90 tu Ufaransa bingwa.
Croatia imeanza mashindano Kwa Speed kali lkn siku zinavyozidi kwenda wanashinda kimiujiza tuWatu wa humu sijui hawafuatilii mpira sijui ni ubishi tu, inaipa heko England kwa Croatia, kwanza washukuru Mungu Croatia wachezaji wake wanaonakana kama bado wamechoka.
na kutupitishia vibomberdier juu kila dk...pambafu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Mnatupigia keleleeeeeeeeeee it's coming home, shenzy typeeeeeeeeeeee
[emoji2] [emoji2] [emoji4] yaani refa kawabeba kweli England[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aiseee pia nmesema tu Hawa lazma walichotewa na England
England kwa kweli nilikuwa nazungumza mwenyewe toka jana kuwa Endapo utafuzu fainali ya WC basi ningehama Yanga na kwenda Lipuli.
Uchokozi tu mama ahhhaNawasalimu tu wakuu
Mandzukic [emoji7][emoji1434]
Jidanganye England hawana Tofauti na Taifa Stars.Ila england wamejitahidi sana kikosi kilikuwa na vijana wadogo wengi credit kwao watafanya vyema wakifikisha miaka ya luka na perisic huko baadae.
Cheeeers!Oyoooooooo cheers kwa wana Croatia wote tusherekee pamoja jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmetangulia stand basi kelele nyingi, kumbe nauli anayo Croatia pumbavuuuuuuuu.
[emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] anasubiri tatu boraaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nenda kapande drimu laina inaenda england kesho
Haaa haa haa aiseeeKama utani vile 20 imepona na Papuchu katuma hahaaa. Huu mpira huuu waweza ua urafk kama si strong
Kwani crotia toka waanze kucheza mpira hatua hiyo ya kuingia final wamefika mara ngapi?Jidanganye England hawana Tofauti na Taifa Stars.
sure, refa alikua upande wa malkia laivu laivu kabisaHawakustahili hata kufika nusu, England wanapenda sana mserereko. Refa ajiandae kusemwa sana kesho
Uzoefu unachangia wengi above 28Croatia sio wa kuchezea kabisa mkuu, ni wapambanaji haswaaa, ndicho ninachowapendea, wana discipline ya hali ya juu.
AiseeTukutane tena Qatar kwenye majaaliwa View attachment 807619View attachment 807620