Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Watu wa humu sijui hawafuatilii mpira sijui ni ubishi tu, inaipa heko England kwa Croatia, kwanza washukuru Mungu Croatia wachezaji wake wanaonakana kama bado wamechoka.
Croatia imeanza mashindano Kwa Speed kali lkn siku zinavyozidi kwenda wanashinda kimiujiza tu
 
Back
Top Bottom