Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Nilipenda washinde England ili wakutane na Ufaransa lakini naona leo viatu walivyovaa ni vikubwa mno...

Maana hawa jamaa walishachukua kombe mdomoni.
 
wasamehe mkuu wachezaj wa england nliongea nao jana wakanambia wana stress za brexit ..
 
Ila ukitaka kujua mtu kama ana akili za kawaida angalia timu anazoshabikia WC.

Hivi mtu kwa akili timamu unashabikia Wiingereza ukiamini kuwa itakupa Kombe kweli?

Akili hupimwa kwa mambo madogo sana, unategemea Vardy, Lingard, Rashford wakuletee kombe kweli!

Hata kama wangeingia fainali na timu ya Magongo bado tu wangefungwa, watu wanawekeza kwenye uwanja wao wanawekeza kwenye Vyombo vya habari.

"Kama mkoloni kama Tanzania"
 
Wanaoshabikia England hawajui mpira ni wapenzi wa mpira wa juzijuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…