Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Let us wait and see; France ni timu ya vitoto vingi vya kiafrika ambavyo viko sharp, fast na aggressive. Halafu timu yao iko balanced sana. Defense, midfield ana forwardline wote wanajua majukumu yao sawasawa. Croatia imepita huko nyuma kwa mbinde sana: ama kwa extra time au kwa penalty: France haijawahi kuingia extra time pamoja na kuwa ilikuwa kundi la timu ngumu na kote ilishinda cleanJombi naipa nafasi kubwa CROATIA sababu ni TALLENTED & TEAM WORK, note kwamba ktk bara la ulaya mpira wa ukweli upo EAST UEROPE,