Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Jombi naipa nafasi kubwa CROATIA sababu ni TALLENTED & TEAM WORK, note kwamba ktk bara la ulaya mpira wa ukweli upo EAST UEROPE,
Let us wait and see; France ni timu ya vitoto vingi vya kiafrika ambavyo viko sharp, fast na aggressive. Halafu timu yao iko balanced sana. Defense, midfield ana forwardline wote wanajua majukumu yao sawasawa. Croatia imepita huko nyuma kwa mbinde sana: ama kwa extra time au kwa penalty: France haijawahi kuingia extra time pamoja na kuwa ilikuwa kundi la timu ngumu na kote ilishinda clean
 
Kweli nimeamini watanzania wengi ni vichaa na wajuaji hadi wanapitikiza na kutia kinyaa et mtu anashabikia uingereza hajui mpira


Kwa hiyi wale mashabiki wa sunderland na west ham hawajui mpira kwa kuwa hazichukui makombe?

Nchi hii ina matahira balaa
 
Rashford anacheza mpira bila malengo yeye anachezea mpira tu. Lingard ndo usiseme anakimbia tu kama tipa tripu hii anabeba mchanga inayorudi anabeba kokoto. England ni hovyo kabisa.
Ila croatia wana uvumilivu na mpira mzuri sana yani wanakimbiza mwanzo mwisho.
 
Ndo mana nchi ina timu mbili simba na yanga kwa ushabiki maandazi wa mafanikio sasa kila mmoja akishabikia brazil na kuipenda nani atatoa changamoto

Au watu mlitaka muwepo mnaoshabikia crotia peke yenu hapa

Maajabu ni mengi tanzania
 
Kweli nimeamini watanzania wengi ni vichaa na wajuaji hadi wanapitikiza na kutia kinyaa et mtu anashabikia uingereza hajui mpira


Kwa hiyi wale mashabiki wa sunderland na west ham hawajui mpira kwa kuwa hazichukui makombe?

Nchi hii ina matahira balaa
Kwani klabu zao zinachezwa na wazawa tupu? Au hujui ligi yao inanogeshwa na wachezaji wa nje si wazawa wa England.
 
Kuna Tumbili huko juu naona anarukaruka kwa kelele nyingi kama kakatwa mkia.

Mzee Mpira sio Biko kwamba hata ukiwa Matumbi unaweza kushinda, mpira ni maandalizi, utayari na juhudi kama unapeleka vitoto Wc unahisi hilo kombe wataliiba?

Kuna watanzania mazezeta sana hivi unatembea njiani unawaza England ichukue ubingwa kweli hiyo si dalili ya Kisonono kuanza kula mtindio wa Ubongo.
 
Back
Top Bottom