na mm nipo nashangaa hapa sielewiDhaaaaaaaa hyo n bahar ama n swimming pool
Viwanja v 2 sehem moja
😀😀😀😀😀..hahahahSio kuwa hawajui mpira bali hata uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
Halafu mashabiki wa England wa Jf wako wapi now.. Au nao wamerudi nyumbaniSio kuwa hawajui mpira bali hata uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],Yaani wanacheza mpira wa ujanja ujanja tu,mara penalty mara VAR,yaani ilimradi tu wameshinda.Kama leo kigoli kimoja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi.Halafu ndo wanataka wakabebe WC.Yaani WC imekua kama Mbuzi cup?..Ila ukitaka kujua mtu kama ana akili za kawaida angalia timu anazoshabikia WC.
Hivi mtu kwa akili timamu unashabikia Wiingereza ukiamini kuwa itakupa Kombe kweli?
Akili hupimwa kwa mambo madogo sana, unategemea Vardy, Lingard, Rashford wakuletee kombe kweli!
Hata kama wangeingia fainali na timu ya Magongo bado tu wangefungwa, watu wanawekeza kwenye uwanja wao wanawekeza kwenye Vyombo vya habari.
"Kama mkoloni kama Tanzania"
Wasemaji wa historia ya mpira wanasema, Croatia imekutana na Ufaransa mara tano, na haijawahi kuifunga. Ila na sisitiza Fainali Croatia bingwa.
- Ufalansa itachukua kombe.uingeleza ilibweteka na lile goli1.
Wakati naangalia mpira usiku huu nilikuwa na mzee mmoja namheshimu nasikia analalamika tu kuhusu uchezaji wa England nikamwangalia nikasema HiiiiiiiiiiHalafu mashabiki wa England wa Jf wako wapi now.. Au nao wamerudi nyumbani
Ha ha haaa!View attachment 807635
TOTOVIĆ.
Hapana aisee siyo kweli labda kwa mbinde na makosa sana kwa upande wa Ufaransa. Wiki mbili iliyopita nilisema hivi Russia World Cup 2018 Special ThreadBingwa wa hili kombe ni CROATIA
Aisee! Nimecheka kwa sauti. Goli moja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],Yaani wanacheza mpira wa ujanja ujanja tu,mara penalty mara VAR,yaani ilimradi tu wameshinda.Kama leo kigoli kimoja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi.Halafu ndo wanataka wakabebe WC.Yaani WC imekua kama Mbuzi cup?..
England hawana hata mchezaji mmoja mwenye mafanikio makubwa hata ya Club wanataka kubeba WC hata wachezaji wengine hawajagusa Community Shield [emoji23] [emoji23] [emoji23].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],Yaani wanacheza mpira wa ujanja ujanja tu,mara penalty mara VAR,yaani ilimradi tu wameshinda.Kama leo kigoli kimoja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi.Halafu ndo wanataka wakabebe WC.Yaani WC imekua kama Mbuzi cup?..
Mpira mzuri watoto wazuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha haaa!
Jombi naipa nafasi kubwa CROATIA sababu ni TALLENTED & TEAM WORK, note kwamba ktk bara la ulaya mpira wa ukweli upo EAST UEROPE,Hapana aisee siyo kweli llabda kwa mbine na makosa sana kwa upende wa Ufaransa. Takribani wiki mbili zilizopita nilisema hivi Russia World Cup 2018 Special Thread
halafu baada ya wiki moja nikafanya marekebisho haya Russia World Cup 2018 Special Thread
Kwa sasa hivi sioni mabadiliko tena
Rashford anacheza mpira bila malengo yeye anachezea mpira tu. Lingard ndo usiseme anakimbia tu kama tipa tripu hii anabeba mchanga inayorudi anabeba kokoto. England ni hovyo kabisa.Wakati naangalia mpira usiku huu nilikuwa na mzee mmoja namheshimu nasikia analalamika tu kuhusu uchezaji wa England nikamwangalia nikasema Hiiiiiiiiii
W[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Sio kuwa hawajui mpira bali hata uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mrembovicView attachment 807635
TOTOVIĆ.
Hahahaha sipendi watu wajuaji na bora ujuaji wao umekoma.Rashford anacheza mpira bila malengo yeye anachezea mpira tu. Lingard ndo usiseme anakimbia tu kama tipa tripu hii anabeba mchanga inayorudi anabeba kokoto. England ni hovyo kabisa.