Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Screenshot_20180712-000943.png

TOTOVIĆ.
 
Ila ukitaka kujua mtu kama ana akili za kawaida angalia timu anazoshabikia WC.

Hivi mtu kwa akili timamu unashabikia Wiingereza ukiamini kuwa itakupa Kombe kweli?

Akili hupimwa kwa mambo madogo sana, unategemea Vardy, Lingard, Rashford wakuletee kombe kweli!

Hata kama wangeingia fainali na timu ya Magongo bado tu wangefungwa, watu wanawekeza kwenye uwanja wao wanawekeza kwenye Vyombo vya habari.

"Kama mkoloni kama Tanzania"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],Yaani wanacheza mpira wa ujanja ujanja tu,mara penalty mara VAR,yaani ilimradi tu wameshinda.Kama leo kigoli kimoja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi.Halafu ndo wanataka wakabebe WC.Yaani WC imekua kama Mbuzi cup?..
 
Aisee! Nimecheka kwa sauti. Goli moja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],Yaani wanacheza mpira wa ujanja ujanja tu,mara penalty mara VAR,yaani ilimradi tu wameshinda.Kama leo kigoli kimoja yanarudi kati kujaa kama kumbikumbi.Halafu ndo wanataka wakabebe WC.Yaani WC imekua kama Mbuzi cup?..
England hawana hata mchezaji mmoja mwenye mafanikio makubwa hata ya Club wanataka kubeba WC hata wachezaji wengine hawajagusa Community Shield [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Wakati naangalia mpira usiku huu nilikuwa na mzee mmoja namheshimu nasikia analalamika tu kuhusu uchezaji wa England nikamwangalia nikasema Hiiiiiiiiii
Rashford anacheza mpira bila malengo yeye anachezea mpira tu. Lingard ndo usiseme anakimbia tu kama tipa tripu hii anabeba mchanga inayorudi anabeba kokoto. England ni hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom