Let us wait and see; France ni timu ya vitoto vingi vya kiafrika ambavyo viko sharp, fast na aggressive. Halafu timu yao iko balanced sana. Defense, midfield ana forwardline wote wanajua majukumu yao sawasawa. Croatia imepita huko nyuma kwa mbinde sana: ama kwa extra time au kwa penalty: France haijawahi kuingia extra time pamoja na kuwa ilikuwa kundi la timu ngumu na kote ilishinda cleanJombi naipa nafasi kubwa CROATIA sababu ni TALLENTED & TEAM WORK, note kwamba ktk bara la ulaya mpira wa ukweli upo EAST UEROPE,
Hiiiiiii ata kama ni mimj mchezaji lazma ni kazeView attachment 807635
TOTOVIĆ.
Wanacheza mpira wa darasani,halafu wanatupigia kelele its coming home,yeah it is,shame is coming home.[emoji23]England hawana hata mchezaji mmoja mwenye mafanikio makubwa hata ya Club wanataka kubeba WC hata wachezaji wengine hawajagusa Community Shield [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Croatia wako km nyukiJombi naipa nafasi kubwa CROATIA sababu ni TALLENTED & TEAM WORK, note kwamba ktk bara la ulaya mpira wa ukweli upo EAST UEROPE,
Ulikuwa Wiingereza?W[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Akuiu!sikuona km naweza vutiwa nao na niliwaua mapema sana!Ulikuwa Wiingereza?
Hapo bado hujamuona rais wao na jezi ilivyomkubali. Lazima wakaze.Hiiiiiii ata kama ni mimj mchezaji lazma ni kaze
Safi sana naanza kupata uhakika wa ufahamu wako.Akuiu!sikuona km naweza vutiwa nao na niliwaua mapema sana!
Ila croatia wana uvumilivu na mpira mzuri sana yani wanakimbiza mwanzo mwisho.Rashford anacheza mpira bila malengo yeye anachezea mpira tu. Lingard ndo usiseme anakimbia tu kama tipa tripu hii anabeba mchanga inayorudi anabeba kokoto. England ni hovyo kabisa.
wanamsubir jecha mechi irudiweHalafu mashabiki wa England wa Jf wako wapi now.. Au nao wamerudi nyumbani
Kwani klabu zao zinachezwa na wazawa tupu? Au hujui ligi yao inanogeshwa na wachezaji wa nje si wazawa wa England.Kweli nimeamini watanzania wengi ni vichaa na wajuaji hadi wanapitikiza na kutia kinyaa et mtu anashabikia uingereza hajui mpira
Kwa hiyi wale mashabiki wa sunderland na west ham hawajui mpira kwa kuwa hazichukui makombe?
Nchi hii ina matahira balaa
duuuh... haya bana mkuu, lakini madogo wanatia huruma sana umemuona rushford?Na kweli nahisi wameenda kucheza kwenye vyumba vya kubadilishia nguo utanipa matokeo.
Jamani kaah!mi napenda sana Mpira sema ndo uzee tenaSafi sana naanza kupata uhakika wa ufahamu wako.
Uliachoandika hata hakieleweki sijui ulikusudia niniKwani klabu zao zinachezwa na wazawa tupu? Au hujui ligi yao inanogeshwa na wachezaji wa nje si wazawa wa England.
Kwel itabidi niaze ku bet SasaTeam
Croatia [emoji123]
Senegal
Dakika 120 mechi ya tatu hii wanakimbiza. Kweli kwa wenzetu mpira kazi.Ila croatia wana uvumilivu na mpira mzuri sana yani wanakimbiza mwanzo mwisho.
Asante sana, Chief. Kwako pia.Hongera mkuu capitalpool