Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ugiriki 2004 ulimuona?
 
Rashford anacheza mpira bila malengo yeye anachezea mpira tu. Lingard ndo usiseme anakimbia tu kama tipa tripu hii anabeba mchanga inayorudi anabeba kokoto. England ni hovyo kabisa.
lingard hana tofaut na yule mbrazil wa yanga bonge bonge flan muuza maandaz huko kwao
 
[emoji3][emoji3][emoji3]walivyocheza na Sweden nilimpa Sweden I wonder what happened that day!seriously England walishinda[emoji3]!
 
Uyo achana nae ndo wale wale wenye uwezo mdogo wa. Kufikiri
 
karibu katika ulimwengu wa matahira ... tunakuchagua uwe mwenyekit
 
Ndo mana nchi ina timu mbili simba na yanga kwa ushabiki maandazi wa mafanikio sasa kila mmoja akishabikia brazil na kuipenda nani atatoa changamoto

Au watu mlitaka muwepo mnaoshabikia crotia peke yenu hapa

Maajabu ni mengi tanzania
Naomba kujua umri wako kwanza maana Nina wasi was I na wew
 
Mkuu unaichukia england kichizi, ila nimeona avatar nikajua kwann.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…