Maandalizi yao yalikuwajeUgiriki nayo ni timu yako kumbe.
hpn kwan leo kulkua na mechi ?Ni mshabik wa crotia?
Walipita kwa Bahati wala hakuna mpira wowote walionao.[emoji3][emoji3][emoji3]walivyocheza na Sweden nilimpa Sweden I wonder what happened that day!seriously England walishinda[emoji3]!
Sizani labda keshohpn kwan leo kulkua na mechi ?
Kwa kweli.Iyo achana nae ndo wale wale wenye uwezo mdogo wa. Kufikiri
We jamaa bila shaka umeanza kufuatilia mpira kombe hili la dunia.Hahaha bongo bahati mbaya kwa hiyo mashabiki wa ujeruman wana akili
uck mwm mkuu mech ikianza nshtue nataman croatia ashindeSizani labda kesho
Omba kwanza wa mashabik wa argentina halafu ndo ujue mpira kama unapimwa kwa hivyoNaomba kujua umri wako kwanza maana Nina wasi was I na wew
Hapo unauliza? Au sio nini tenawewe ni tahira au sio
Unajua ukisogeza timu ya England kwenye mambo ya Mpira utaifanya ianze kujiona ni timu kubwa sana Duniani kumbe haipunguzi wala kuongeza chochote.Mkuu unaichukia england kichizi, ila nimeona avatar nikajua kwann.
hv ww kati ya lingard na juma nyosso nan fundHahahaha..Lingard mwenyewe angekusikia angekurushia nyanya mbovu..hahahhaa
Pole kwa yaliyokukuta leoOmba kwanza wa mashabik wa argentina halafu ndo ujue mpira kama unapimwa kwa hivyo
Bongo bahati mbaya young d
Mweee tanzania kwa hiyo ufaransa kombe la kwanza la dunia kabla ya 1998 alikaa muda gani bila kubeba?We jamaa bila shaka umeanza kufuatilia mpira kombe hili la dunia.
Hahah..Kuna jamaa yangu ananiambia mashabiki wa England wamebaki tuliiiii kama wanaangalia Xuck mwm mkuu mech ikianza nshtue nataman croatia ashinde
Naomba urudi Urusi habari za Ugiriki sioni kama zina maana yoyote kwa sasa.Maandalizi yao yalikuwaje
Weka alarmuck mwm mkuu mech ikianza nshtue nataman croatia ashinde
Pale ambapo hata mkoloni wa dunia anapoteza Kwa timu ndogo kama Croatia inatutia moyo sisi Africa kuwa kutolewa mapema Kwa timu zetu sio Kwa kizembe ni mchezo Tu kama wa tatumzuka