Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Pale ambapo hata mkoloni wa dunia anapoteza Kwa timu ndogo kama Croatia inatutia moyo sisi Africa kuwa kutolewa mapema Kwa timu zetu sio Kwa kizembe ni mchezo Tu kama wa tatumzuka
 
Maandalizi yao yalikuwaje
Naomba urudi Urusi habari za Ugiriki sioni kama zina maana yoyote kwa sasa.

Timu nzima hakuna hata mchezaji aliyewahi kupata mafanikio ya soka unataka ianzie kwenye WC uko Timamu kweli.
 
Pale ambapo hata mkoloni wa dunia anapoteza Kwa timu ndogo kama Croatia inatutia moyo sisi Africa kuwa kutolewa mapema Kwa timu zetu sio Kwa kizembe ni mchezo Tu kama wa tatumzuka

Mkoloni kwenu kwa Croatia wala hawana mpango na hao Waingereza, kwao ni kama vile wewe unavyoina Ghana au Burkina faso, siyo ishu!
 
Back
Top Bottom